PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie
 
Hakuna amani bila haki
Walioua watu wawajibishwe na ikibidi nao wauawe.

Wewe umewahi kufiwa na kujua uchungu wake kweli?
 
tuliza tako hilo dawa iingie kutoka TEC
 
Hahaaaaa
 
Mwigulu atulize kichwa kwanza kama waziri mkuu lazima awe na mikakati imara ya kuliponya taifa. Amsaidie mheshimiwa Rais kudeal na situation iliyopo asikimbie kimbie kuonekana anaweza. Awasome akina Salim Ahamed Salim enzi zao za uPM walivyoweza kufanya mambo kwa utulivu bila kelele wananchi wakawa wanashtukia matokeo positive yanaonekana.
 
Wewe unaonekana hata ilimu huna, umeandika mashudu!
 
Wewe unaonekana hata ilimu huna, umeandika mashudu!
Sawa professor, kwa elimu sina hiyo kubwa kweli, lkn haijanizuia kutaka amani na kuona hizo hila za watu wengine kama hao kina Kitime/TEC, Gwaji , Mange , Maria,Chadema (Lissu & Heche) nk
Narudia tena Chama dola kina mapungufu lkn na hao wengine nao wana mapungufu na hawana usafi huo pia
 
Ngoja tuufumue ule mkataba wenu unaowapa kiburi...
Gwajima tu hajapiga goti amewaambia mkitaka fungieni kanisa lake milele, Si mmeona wenyewe mmelifungua? Sembuse RC.

Na wala hamjaambiwa kitu kibaya, mmeambiwa komesheni utekaji, Kwanini watu wanatekwa kama kuku kwenye nchi yao. Is this too much to ask? Kwa watu mnaotumia kodi za wananchi kuishi.

Ama kweli akili ni nywele.
 
SASA BARAZA LINA MAMLAKA GANI NCHI HII??

HILO BARAZA NI LA KWENU NYINYI NA KONDOO WENU SISI HALITUHUSU...

NA HAMNA TENA HIYO NGUVU AMBAYO MLIDHANI MNAYO NDANI YA TAIFA HILI
 
Naanza unganisha doti kwa teuzi hizi sasa ,jikujua kama Fr kitima ni Singinda ,nilijua anatokea Mburu ,karatu huko,ukweli wa Mungu ndo najua leo ukizingatia ukabila sio sifa yetu kama watanzania , na si jambo la kushughulika nalo mimi kama mtanzania , ila sasa naanza kuwaza mbali
 
Umeongea/kuandika kama kobazi wengine. Kifupi huna hoja, mkiambiwa mwende shule mnaenda madras
 
SASA BARAZA LINA MAMLAKA GANI NCHI HII??

HILO BARAZA NI LA KWENU NYINYI NA KONDOO WENU SISI HALITUHUSU...

NA HAMNA TENA HIYO NGUVU AMBAYO MLIDHANI MNAYO NDANI YA TAIFA HILI
Ila kobazi sijui mna matatizo gani,au elimu ahera ndiyo inawafanya hivi?
 

Mwigulu alitaka kutake advantage. Hslafu huu upupu wote anaotunwagia kimbe snajua ni nini askari wake waliwafanyia waathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…