Padri Kitima: Bunge letu linafikiri kichama. Upeo wa kuchambua masuala ya nchi yetu umeshuka

Muombeeni Mrisho Mpoto, aliwauza kwa kipande cha dinari.
Alitudhalilisha wakatoliki wote.
Muombeeni aliyemtuma Mrisho Mpoto, alijua hawezi kuwananga direct , hiyo ndio tabia ya waswahili , kusuta.!
 
Elimu na akili ni vitu viwili tofauti.
Watu wenye akili wakikosa ajira ndipo fikra za kimapinduzi huanzia.
 
Na jeshi letu nalo limekuwa chawa. Kungekuwa hakuna uchawa jeshini basi lingekuwa limechukua hatua kama walivyofabya kule Sudan na Gabon. Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana.
 
Padre anayetetea mashoga hawezi kuipenda serikali inayopinga ushoga.
Dah! I wish ungekuwa ni moja ya zile ng'ombe 🐂 zilitolewa na wadau mbalimbali mara baada ya ule ushindi wa Yanga.
Maana mpaka muda huu tungekuwa kitambo tu tumeshakutafuna kama supu na chapati. 😋
 
Ajikite kuhubiri dini,wafuasi wake ni miongoni mwa waovu waliopo mtaani,awafikie hao,apunguze ashki za siasa au ajiunge chadema watamkaribisha
 
Swala kubwa hapa ni mfumo wa elimu kwanza heshima ya elimu imeshuka ndio maana mtu anajisifu bungeni kuwa hajasoma na hii imetokana na mfumo at nasikia kwamba leo diploma au degree holder ni mkuu wa shule halafu master holder ni mwl wa kawaida kisa huyu ni chawa huyu haeleweki chama chake ila ukija huku afya sidhani kama iko hivo.
 
TANZANIA HAKUNA BUNGE KUNA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA NDANI YA MAJENGO YA BUNGE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kuna kijana mmoja nilimshangaa sana. Katotoka zake gesh.i akaanza mwaka wa kwanza shahada. Nilimshangaa sana kumkuta anachemsha maji ya kuoga saa saba mchana huku jua liliwaka ile mbaya!
 
Umewaza vyema kabisa, masikini hana kiapo
 
Sahihi
 
Sawa baba mchungaji wamekusikia. Chukua Chako Mapema ndio mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…