Padri Kitima: Kwa sasa Viongozi hawawasikilizi tena Wananchi wanapolalamika na kuwapuuza

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu madaraka ya kutawala nchi yao unajenga obwe la uwajibikaji na hapo hapo tujahakikisha unadumu madarakani.

Your browser is not able to display this video.
 
Si hata Viongozi hao wa dini nao wako juu ya wananchi, sijaelewa, kwani tangu lini viongozi wako chini ya wananchi?
 
Si hata Viongozi hao wa dini nao wako juu ya wananchi, sijaelewa, kwani tangu lini viongozi wako chini ya wananchi?
kwa mujibu wa Ibara ya nane ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi ni maboss wa watawala. Viongozi ni watumwa/vibarua wa umma (wananchi)
 
kwa mujibu wa Ibara ya nane ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi ni maboss wa watawala. Viongozi ni watumwa/vibarua wa umma (wananchi)

Is that what is being practised worldwide? Tuwe wakweli, viongozi wako juu ya wananchi, kokote kule duniani, hivyo ndivyo ilivyo, ila madaraka watapata toka kwa wananchi, sasa ukishampa mtu madaraka akawa kiongozi, hawezi tena kuwa chini ya wananchi, ndio maana baada ya uchaguzi au uteuzi wanaapishwa ili madaraka yao yawe na uhalali wa kushika nguvu za madaraka..!
 
hawako juu ya wananchi, ndio maana kwa mfano, kupitia Bunge (wawakilishi wa wananchi) linaweza kumtoa Rais madarakani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani naye.

wananchi maana yake ni WENYE NCHI! keep in mind.
 
Leader serve, ukiwa kiongozi lazima uwe chini ya wananchi

Wafalme tu ndio wako juu ya wananchi ila lama uongozi unawekwa na wananchi huwezi kuwa juu ya wananchi

Demokrasia maana yake utawala wa wananchi. Mbunge anakuja jimboni anachukua ushauri kwa wananchi anapeleka bungeni.

Ukiwa kiongozi wa kuchaguliwa maana yake lazima uwatumikie wananchi waliokuchagua.

Hata Yesu alijishusha akawaosha wanafunzi wake miguu, remember that..
 
Iss
Issue inaanzia hapa.." ukishampa mtu madaraka"
Haya madaraka walipewa na wananchi kweli?
Rejea 2019,2020 na 2024..
Ile engua engua!
 

mtumishi wa umma ni mtumwa wa umma. Acheni kuinua mabega
 
Basi ndo maana wanatoa RUSHWA Hao viongozi ili wawaletew wananchi maendeleo? Unampa mtu rushwa ili ukamsemee? Nenda hapo kibamba ukaone jeuri ya pesa kwa want ccm kina KAIRUKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…