DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
View: https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7
Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
Padri Kitima kuhusu ushauri uliopelekwa na baraza la maaskofu kuhusu mabadiliko
kuhusu tume uhuru ya uchaguzi kitima amejibu
Vyama Upinzani vilidhoofishwa sana katika kipindi cha Awamu ya Tano naya saa