Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

"Sheria nyingi hazipingani na mpango wa Mwenyezi Mungu "

''Hakuna sheria unasema watu watekwe''
''kila MTU atavuna alichopanda"

" wafuasi wa Gwajima Wana haki ya kuabudu" Ibara ya 19
 
Huyu mwamba anayemuohoji Padre (natumaini ndio mwenye Jambo Media) tulikuaga tunam dis sana kwa unoko (nafikiri ndio karama ya uamdishi ilikua ndani inam drive) na vile alikuaga na sura mbaya basi tulikua hatumpendi kinoma pale Tosamaganga nikiwa high school, alinitangulia mwakam mmoja
 
Back
Top Bottom