The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Safi tujue yaliyomo
View: https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7
Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa
Padri Kitima kuhusu ushauri uliopelekwa na baraza la maaskofu kuhusu mabadiliko
Wewe mwenyewe ni kiongozi kwenye hicho kitengo ndiyo maana unajua kabisa kuwa kuna kitengo maalum cha kuteka na kuua. Shame on youKitengo kipi cha CCM kinahusika na hayo mambo ?
Kiongozi wake ni nani,?
Siku akitekwa mumeo ndiyo akili itakaa vizuriNenda mahakamani ukashtaki
kama ilivyokuwa katika harusi ya kule Kanawanabariki pombe mkuu .SAD
CCM wamezoea kuua na kuteka
uifungie vatican? Utafungwa weweNatamani RC ifungiwe kama kanisa la Gwajima ili nchi iokolewe
Imeuma sana hii" Nisingependa nao wafanyiwe hivi ninavyofanyiwa"
Nawakubaligi sana jambo TVUtashangaa hii interview hao jambo tv wataambiwa waifute haraka sana..