Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Usipotoshwe.. Sikiliza mipini yao hapaWameenda kuomba msamaha kwa yale matamko yao ya nyuma au wameenda kumpa baraka za mitano tena? Time will tell.
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusema wao Maaskofu ndio waliomba kukutana na Rais Samia na wanashukuru kukutana na kuzungumza
“Tunapenda kuweka bayana sisi TEC ndio tuliomba kukutana na Rais Samia, na tunashukuru Rais alitupokea vizuri sana”
Kuna mahali waliwahi kusema hawamtambui kama Rais, au unawachanganya na CHADEMA?Kwishney,
Wakishamtambua kama raisi then kelele zimeisha.
Sijajua walibanwa wapi mpaka wametulia, maana nawajua wakatoliki walivowabishi, mpaka maslahi yao yabamwe ndo wakae kwenye mstari
Huna akili shehe ubwabwa, dp world ndio wametutungia sera zetu za kodi?!.Pamoja na kujisalimisha endelea kuwakazia msamaha wa kodi toa kwenye bidhaa za msingi kama elimu na afya, janja janja za kupitisha magari yao binafsi na za mashosti endelea kuwakazia mama.
Mpumbavu wewe bunge ndo linalotunga na utekelezaji zinafanya taasisi husikaHuna akili shehe ubwabwa, dp world ndio wametutungia sera zetu za kodi?!.
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusema wao Maaskofu ndio waliomba kukutana na Rais Samia na wanashukuru kukutana na kuzungumza
“Tunapenda kuweka bayana sisi TEC ndio tuliomba kukutana na Rais Samia, na tunashukuru Rais alitupokea vizuri sana”
Soma Pia: Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino
Mimi nitabashiri tu, hasa kuzingatia maoni yako mengi kuhusu Nyerere.Itajulikana tu
Uchawa ni janga kubwa sana. Machawa wameshafikia hitimisho wanalolitaka wao.Naona CHAWA wamefurahi kweli! Hata hawaelewi ajenda ya kukutana ni ipi, wao wameshafika kwenye hitimisho walipendalo siku zote as if ni rahisi kiasi hicho.