Duuh...Wameenda kuomba msamaha kwa yale matamko yao ya nyuma au wameenda kumpa baraka za mitano tena? Time will tell.
Bunge wanapewa nini wapitishe kwa maslahi ya wahusika kama sasa hivi kila gari linaloingia linachangia kodi ili kujenga bandari ambayo ipo chini ya DP world haiingii akilini hii..Mpumbavu wewe bunge ndo linalotunga na utekelezaji zinafanya taasisi husika