Tume mpya baada ya kuanza kazi wengine tulijua
kina Father Kitima nk. lazima wataomba poa asubuhi ya
mapema👈
Sababu uwelekea wasasa ni kujua wausika wakuu walioshawishi Vijana kupitia njia mbali mbali sasa ktk ilo ni kwa %80 Makanisa yemeusika 👈
Tumaini la kina Father Kitima lilikuwa ni presha anayopokea kutokea majuu sasa
Rais Dk Samia Suluhu Hassan kaonesha waziwazi kutotingishwa na Bunge la Ulaya na uko Marekani kwa yule SENETA
Mpaka kufikia Jumuiya ya Commonwealth
Bado Dk Samia Suluhu Hassan kafunga vioo
Kumewashtua na kuwatoa usingizi kina Father Kitima
wamemkimbilia kuchutama kabla ya kupokea ripoti mpya👈
viongozi wetu awa wa Dini kwa matamko yale niwazi kupona kwenye kadhia ya Mo29 ni ngumu sana
Niliwai sema ikiwa ICC watafanyakazi Tanzania ya kuchunguza basi wapo Maskofu watatakiwa kwenda kujibu
Na kwamba Rais Dk Samia Suluhu Hassan
kwanamna moja kugomea uchunguzi wa ICC lengo ni kuwalinda Maskofu wa katoliki
Kukamatwa👈
Serikali lazima ipige hesabu faida na hasara zake kiusalama👈
Je Maskofu kumamatwa kwa matukio ya kisiasa
kunaweza kutoa mwelekeo mbaya kitaifa 👈
So Father Kitima Safari yao ni yakimkakaklti wamewai
Kituoni kujisalimisha✍️
Viongozi wa Dini wamekosea kuwaongoza vijana vibaya kuwapeleka wenye MOTO 👈
Vijana wengi waliokufa walikuwa na imani kubwa na viongozi wao wa Dini!
Tumaini langu hatakama hawatakamatwa kwa jambo lile
lkn
Nafsi zao ziwe na nyoyo ya kujutia sana kwa matendo yale✅️
leo bado kuna familia zinalia kupoteza wapendwa wao👈
Kwangu Viongozi wa Dini zote kwasasa wamekosea
wameusika kuwatumbukiza waumini wao kwenye MOTO wa mapambano ya kupinga Serikali
Mashekh nawao wameusika kipindi cha Rais Benjamin William Mkapa rip
Vijana walikufa pia✍️
Tuseme viongozi wa Dini zetu wanapaswa kufuata mipaka yao wabaki na Dini Siasa waachiwe Wanasiasa ✅️
Madhara ya kujiusisha na Siasa kwa viongozi wa Dini tunayaona
Waziwazi
Sasa Serikali inapata Shida au kigugumizi kutenda sawa kisheria mana ilipaswa baadhi ya Maskofu wawe keko kujipambania leo👈
Wanasiasa kukamatana kwao ni jambo la kawaida 👈
Sasa kiongozi wa Dini haipendezi japo kipindi kile Rais Benjamin William Mkapa rip,
yeye aliwakamata viongozi wa Dini ya kislam✍️