PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nakubaliana na Padri kama Lissu alipigwa risasi maeneo yenye ulinzi wa kielekrotiki (CCTV camera) lakini siku hiyo zilikuwa hazifanyi kazi,pia askari aliepaswa kuwa zamu getini hakuwepo.
 
Umeme una katika na kurudi?Si mlisema shida ya umeme itakuwa historia?
Huyo na wenzake kila wakiendelea kutoa utetezi wa CCM na serikali zake wanajikuta wanakiri uhalifu na madhaifu yao wenyewe.

Miaka 60 ya uhuru halafu anakiri mwenyewe kuwa bado umeme unakatika kila siku. Wakiambiwa waachie madaraka wawapishe wengine, wanalazimisha washinde kwa 98%
 
Hili la umeme wa TANESCO kutumika kumkamata au kumdhuru mtu nimekuwa naliwaza kwa muda sasa. Inawezekana kabisa ni kweli.
 
Hao TANESCO walikua pia katika kundi lilikoshirikiana kuzima umeme kwenye nyumba aliyoishi Polepole ili kufanikisha kukata security fence.
 
🤣🤣🤣 mpeni bia huyo akili ikae sawa,umeme ulikatwa kwake tu au kote?.. umeme wa tanesco kila siku unakatika na kurudi
Kweli ukijumlisha na upwiruu..hivi kwann wanakataza kuchakatana?maana Ina afya ya akili..ukimsikiliza vizuri huyu kibaka ni kwamba hakujeruhiwa Wala nini ila ilikuwa kutengeneza hasira kuelekea mo29..kwanini akatae kuhojiwa baada ya tukio?
 
Back
Top Bottom