PostGE2025 Padri Kitima: Walioua watu Oktoba 29 wawajibike wenyewe au wawajibishwe

PostGE2025 Padri Kitima: Walioua watu Oktoba 29 wawajibike wenyewe au wawajibishwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
“Tunachosikitika mpaka sasa na wanachosikitika Watanzania mpaka sasa, wanachoumia Watanzania mpaka sasa, kinyume na mila na desturi za makabila yote ya Tanzania mpaka sasa ni kutokukiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani?.. na kama aliyeua hafahamiki ilikuaje vyombo vinavyozuia mauaji visifanikiwe kuzuia mauaji ndio kinachosikitika na ndio maana katika tafakari ya maaskofu iko wazi kabisa kwamba wawajibike wenyewe, waliohusika na mauaji na kama hawawajibi wawajibishwe” - Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Padre Charles Kitima
 
Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! Mmmmmmmae
We unasemaje?
Mimi nasema alieruhusu hiyo hali awajibike. Mpaka kufika mo29, kuna waliotupereka huko hao ndio tunawataka. Tusiangaike na matokeo, chanzo kwanza
 
Vandalism imesababishwa na nyie, kutosikiliza wananchi wenu wanataka nini
 
Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! Mmmmmmmae
Serikali ndiyo sababu za hayo mbona ilisha elezwa ...utekaji mauaji na ukandamizaji ulikuwa unazidi kufanywa na Samia hata kabla ya hiyo tarehe 29...pia kama walio uliwa ni wezi maiti zao zipo wapi ...kwanini wasipewe ndugu zao wazike ?
 
Serikali ndiyo sababu za hayo mbona ilisha elezwa ...utekaji mauaji na ukandamizaji ulikuwa unazidi kufanya na samia hata kabla ya hiyo tarehe 29...pia kama walio uliwa ni wezi maiti zao zipo wapi ...kwanini wasipewe ndugu zao wazike ?
We uliziona hizo maiti?!!! Hao ndugu waliwakabidhi serikali Hadi waidai serikali Sasa?!!!
 
We unasemaje?
Mimi nasema alieruhusu hiyo hali awajibike. Mpaka kufika mo29, kuna waliotupereka huko hao ndio tunawataka. Tusiangaike na matokeo, chanzo kwanza
Basi endelea kuwasubiri hapo sebuleni na mumeo.
 
Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! M
Uhai wa Mwanadamu una thamani kuliko hizo takataka unazozitaja.

Hizo takataka zinaundwa upya na Wanadamu ila Mwanadamu hana uwezo wa kuunda UHAI.

Wewe ni msukule wa kibibi huwezi kuwa huru kifikra ila hatuachi kukukwambia ukweli samuya ni MUUAJI!
 
Kuna hoja gani hapo we k ya kujibiwa?!!!
Umeambiwa kuwa baada ya askari kuwapiga risasi waandamanaji hapo ndipo uhalibifu ulipoanza ; bila kuwaua wale vijana uharibifu usitokea kwani yale yalikuwa maandamano ya Amani. Hofu ya watawala ndio iliyopelekea kutoa amri kwa askari kuwaua bila sababu!!
Hofu ya watawala kuwa wananchi wanawakataa ndio inawafanya kumwaga askari barabarani ; na wasipoangalia tarehe 9/12 hofu yao hiyo inaweza kuleta madhara makubwa sana, sio kwa maisha tu bali hasa kwa uchumi wa nchi!!
 
Back
Top Bottom