Mali na vurugu zilitokea baada ya wauujia kuanza kuua watu wasio na hatia.Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! Mmmmmmmae
Kimanyoko mkubwa we!!!! Acheni unafiki na uongo nyie, dah!!Mali na vurugu zilitokea baada ya wauujia kuanza kuua watu wasio na hatia.
We unasemaje?Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! Mmmmmmmae
😂Kimanyoko mkubwa we!!!! Acheni unafiki na uongo nyie, dah!!
Vandalism imesababishwa na nyie, kutosikiliza wananchi wenu wanataka nini“Tunachosikitika mpaka sasa na wanachosikitika Watanzania mpaka sasa, wanachoumia Watanzania mpaka sasa, kinyume na mila na desturi za makabila yote ya Tanzania mpaka sasa ni kutokukiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani?.. na kama aliyeua hafahamiki ilikuaje vyombo vinavyozuia mauaji visifanikiwe kuzuia mauaji ndio kinachosikitika na ndio maana katika tafakari ya maaskofu iko wazi kabisa kwamba wawajibike wenyewe, waliohusika na mauaji na kama hawawajibi wawajibishwe” - Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Padre Charles Kitima
Acha matusi wewe *****, jibu hoja kama unazo!Kimanyoko mkubwa we!!!! Acheni unafiki na uongo nyie, dah!!
Serikali ndiyo sababu za hayo mbona ilisha elezwa ...utekaji mauaji na ukandamizaji ulikuwa unazidi kufanywa na Samia hata kabla ya hiyo tarehe 29...pia kama walio uliwa ni wezi maiti zao zipo wapi ...kwanini wasipewe ndugu zao wazike ?Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! Mmmmmmmae
Kuna hoja gani hapo we k ya kujibiwa?!!!Acha matusi wewe *****, jibu hoja kama unazo!
We uliziona hizo maiti?!!! Hao ndugu waliwakabidhi serikali Hadi waidai serikali Sasa?!!!Serikali ndiyo sababu za hayo mbona ilisha elezwa ...utekaji mauaji na ukandamizaji ulikuwa unazidi kufanya na samia hata kabla ya hiyo tarehe 29...pia kama walio uliwa ni wezi maiti zao zipo wapi ...kwanini wasipewe ndugu zao wazike ?
Basi endelea kuwasubiri hapo sebuleni na mumeo.We unasemaje?
Mimi nasema alieruhusu hiyo hali awajibike. Mpaka kufika mo29, kuna waliotupereka huko hao ndio tunawataka. Tusiangaike na matokeo, chanzo kwanza
Uhai wa Mwanadamu una thamani kuliko hizo takataka unazozitaja.Vipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! M
Umeambiwa kuwa baada ya askari kuwapiga risasi waandamanaji hapo ndipo uhalibifu ulipoanza ; bila kuwaua wale vijana uharibifu usitokea kwani yale yalikuwa maandamano ya Amani. Hofu ya watawala ndio iliyopelekea kutoa amri kwa askari kuwaua bila sababu!!Kuna hoja gani hapo we k ya kujibiwa?!!!
Tuanze kwanza na aliyeua kisha tutafuata kwa hao walioharibu mali za watu,kigumu kipi hapo usichoelewaVipi kuhusu vurugu, uporaji na Mali zilizoporwa huyu mtu wa dini anasemaje?!!!!!!! Mmmmmmmae