Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tanzania hamna amani,uhuru na demokrasia kabisa. Ila hapo hapo watu wapo studio wanajidiri na kutoa maoni bila shida. Hivi wanasiasa sio watanzania au wananchi? Watu wa kuomba radhi na kukubali makosa ni wale waliofanya hamasa za fujo,wizi,uporaji,kuchoma miundombinu nk..TUMUOMBEE LISSU ATOKE TU AJE URAIANI ILI MAISHA YAENDELEEKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano wa neno la Kiingereza “reconciliation”, ambalo kwa mtazamo wa Wakristo na Waislamu linahusisha kwanza hatua ya kukiri makosa kabla ya kufikia hatua ya kupatana.
Padre Kitima amesema ili kufikia maridhiano ya kweli, ni muhimu kwa taifa kukubali kuwepo kwa matatizo yanayohitaji kutatuliwa, akitaja mkwamo wa kisiasa ambao, kwa maelezo yake, umewaathiri wananchi.
Amesema tatizo haliwezi kutatuliwa ikiwa ukweli kuhusu hali iliyopo hautakubaliwa, akisisitiza kuwa wananchi ndio wamekuwa waathirika wa changamoto hizo, badala ya kuangalia maslahi ya makundi au watu wanaonufaika na hali iliyopo.
Eeemzee wa busara,
Wamekalia viti vya "maamuzi" lakini hawawezi kujiamulia mambo kizembe na wakaangaliwa tu.Ndiyo maana yanawashinda.Akili na busara mtu wangu.Tatizo ambao hawataki kukubali ndio wamekalia viti vya maamuzi
Mwambieni huyo mzee kiti maa asitupangie au kuingilia kazi yetu ya siasa. Kama kuvaa majoho kumemchosha ajiuzulu.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano wa neno la Kiingereza “reconciliation”, ambalo kwa mtazamo wa Wakristo na Waislamu linahusisha kwanza hatua ya kukiri makosa kabla ya kufikia hatua ya kupatana.
Padre Kitima amesema ili kufikia maridhiano ya kweli, ni muhimu kwa taifa kukubali kuwepo kwa matatizo yanayohitaji kutatuliwa, akitaja mkwamo wa kisiasa ambao, kwa maelezo yake, umewaathiri wananchi.
Amesema tatizo haliwezi kutatuliwa ikiwa ukweli kuhusu hali iliyopo hautakubaliwa, akisisitiza kuwa wananchi ndio wamekuwa waathirika wa changamoto hizo, badala ya kuangalia maslahi ya makundi au watu wanaonufaika na hali iliyopo.
Mnasoma Kiarabu halafu mnataka kuongozaMwambieni huyo mzee kiti maa asitupangie au kuingilia kazi yetu ya siasa. Kama kuvaa majoho kumemchosha ajiuzulu.
Hii kitu niliwahi kuchangia mjadala mmoja humu,vyama vya siasa kuridhiana haiwasaidii wananchi wa kaiwada wenye makovu .Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano wa neno la Kiingereza “reconciliation”, ambalo kwa mtazamo wa Wakristo na Waislamu linahusisha kwanza hatua ya kukiri makosa kabla ya kufikia hatua ya kupatana.
Padre Kitima amesema ili kufikia maridhiano ya kweli, ni muhimu kwa taifa kukubali kuwepo kwa matatizo yanayohitaji kutatuliwa, akitaja mkwamo wa kisiasa ambao, kwa maelezo yake, umewaathiri wananchi.
Amesema tatizo haliwezi kutatuliwa ikiwa ukweli kuhusu hali iliyopo hautakubaliwa, akisisitiza kuwa wananchi ndio wamekuwa waathirika wa changamoto hizo, badala ya kuangalia maslahi ya makundi au watu wanaonufaika na hali iliyopo.
mliosoma kingereza mmeifanyia nini nchi zaidi kujaza mavi kwenye vyoo mnavojengewa na wazungu mpaka leoMnasoma Kiarabu halafu mnataka kuongoza
Ambavyo nyie waarabu wa Mazimbo mnanyea piamliosoma kingereza mmeifanyia nini nchi zaidi kujaza mavi kwenye vyoo mnavojengewa na wazungu mpaka leo
Kwa hiyo hawa vichwa pumbu wa kigalatia ndio wameamua wanakutana wenyewe kwa wenyewe na kutuambia nchi nzima nini kifanyikeKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano wa neno la Kiingereza “reconciliation”, ambalo kwa mtazamo wa Wakristo na Waislamu linahusisha kwanza hatua ya kukiri makosa kabla ya kufikia hatua ya kupatana.