Hizo hatua zote zinafanya kazi kwa mtu mwenye hekima😄! Mtu mbulula mwenye Ego atakutumia Hitmen baada ya kumwambia ukweli hata kwa faragha tu.Hatua ya Kwanza: Suluhisho la FaraghaMwite umkanye: Mtu akikukosea, hatua ya kwanza kabisa ni kuzungumza naye ana kwa ana (faragha).
Lengo: Kuepuka kumfedhehesha mbele ya watu na kumpa nafasi ya kujieleza, kutambua kosa lake, au kuomba msamaha bila shinikizo la nje.
Hatua ya Pili: Kuhusisha Shahidi au MsuluhishiAkikataa mwite na jirani: Ikiwa mkosaji atakataa kusikia, ataonyesha kiburi, au atakataa kukubali kosa lake katika faragha, hapo ndipo unaruhusiwa kuongeza nguvu ya nje.Lengo la jirani: "Jirani" hapa anawakilisha mtu wa tatu asiyefungamana na upande wowote (shahidi, mzee wa busara, au msuluhishi).
Uwepo wake unasaidia kuleta ushuhuda wa haki na kuzuia mtu mmoja kupotosha ukweli.
Yes,Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano wa neno la Kiingereza “reconciliation”, ambalo kwa mtazamo wa Wakristo na Waislamu linahusisha kwanza hatua ya kukiri makosa kabla ya kufikia hatua ya kupatana.
Padre Kitima amesema ili kufikia maridhiano ya kweli, ni muhimu kwa taifa kukubali kuwepo kwa matatizo yanayohitaji kutatuliwa, akitaja mkwamo wa kisiasa ambao, kwa maelezo yake, umewaathiri wananchi.
Amesema tatizo haliwezi kutatuliwa ikiwa ukweli kuhusu hali iliyopo hautakubaliwa, akisisitiza kuwa wananchi ndio wamekuwa waathirika wa changamoto hizo, badala ya kuangalia maslahi ya makundi au watu wanaonufaika na hali iliyopo.
Uhakika wa usalama wao baada ya kutoka hapo Studio ndio kipengeleTanzania hamna amani,uhuru na demokrasia kabisa. Ila hapo hapo watu wapo studio wanajidiri na kutoa maoni bila shida. Hivi wanasiasa sio watanzania au wananchi? Watu wa kuomba radhi na kukubali makosa ni wale waliofanya hamasa za fujo,wizi,uporaji,kuchoma miundombinu nk..TUMUOMBEE LISSU ATOKE TU AJE URAIANI ILI MAISHA YAENDELEE
Na wao wanakushangaa kwani Mko tofauti kimtazamoNashangaa wanaoshawishi Chadema kuingia kwenye maridhiano wakati waathirika ni wananchi.
Usilie sasaKwa hiyo hawa vichwa pumbu wa kigalatia ndio wameamua wanakutana wenyewe kwa wenyewe na kutuambia nchi nzima nini kifanyike
Kwani wakati wanakuja hapo walikua awajulikana kua wanakuja hapo? Mafias bhana achana kutenda mabaya ili serikali ichukiweUhakika wa usalama wao baada ya kutoka hapo Studio ndio kipengele
NonsenseYes,
Padre Kitima na genge lako,
ni vizuri kukiri kwamba mmechochea chuki miongoni mwa wananchi, wananchi wakatoka makwao kwa ulofa na ujinga wao kwa ushawishi wenu,
wakaanza kufanya ghasia, kupiga wapiga kura na kuvuruga uchaguzi.
Kiungwana,
mlizingua sana na ni muhimu sana ombeni msamaha,
naamini serikali sikivu ya CCM itawasamehe.
relax then gentleman and everything gonna be alright, okay?🐒Nonsense
Ajabu iliyoje.Nashangaa wanaoshawishi Chadema kuingia kwenye maridhiano wakati waathirika ni wananchi.
Tuliza mshonoBusara ya huyu Padri ipo wapi? ....
Baada ya yeye na wanaojiita wanaharakati wa mitandaoni kuisadia CHADEMA kushawishi watu wagomee na kukinukisha na kufanya vurugu siku ya uchaguzi, hali iliyopelekea vijana wengi kufariki, eti leo anajiona msafi! Yeye kwanza aombe msamaha na atubu kwa Mwenyezi Mungu na Wazazi wa wahanga alafu ndio anyooshe kidole kwa wengine.
Tatizo ni kwamba badala ya watawala kuchutama ili kuficha aibu yao, wao wakiwa kama "uncircumcised bulls" wanapuyanga tu huku naliu zao zikiwa hadharani!Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano wa neno la Kiingereza “reconciliation”, ambalo kwa mtazamo wa Wakristo na Waislamu linahusisha kwanza hatua ya kukiri makosa kabla ya kufikia hatua ya kupatana.
Padre Kitima amesema ili kufikia maridhiano ya kweli, ni muhimu kwa taifa kukubali kuwepo kwa matatizo yanayohitaji kutatuliwa, akitaja mkwamo wa kisiasa ambao, kwa maelezo yake, umewaathiri wananchi.
Amesema tatizo haliwezi kutatuliwa ikiwa ukweli kuhusu hali iliyopo hautakubaliwa, akisisitiza kuwa wananchi ndio wamekuwa waathirika wa changamoto hizo, badala ya kuangalia maslahi ya makundi au watu wanaonufaika na hali iliyopo.
Unayemjibu ni profesa wa sheria bosi wangu ana phd huyo ww ndo jishike kiongoziHalafu huyu jamaa hata kama alifanyiwa sivyo apunguze ulopolopo
Tunajua alifanyiwa sivyo ila uwakilishi wa ki utawa hautaki mipasho sana
Ajifunze watu wanaona kabla yeye hajaona.. ajishikie