Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kwamba baada ya jiwe kufa watu wasingekufa tena?Duuuuh mi nilijua tanzia ya mwisho itakuwa ya Jiwe kumbe mambo bado yanaendelea!
Third wave hii imesababishwa na msiba wa Mwenda
Asante mkuu na wewe piaR I P
Tafsiri kwenda kwenye lugha gani? Au unauliza maana?Naomba tafsiri ya neno "MONSINYORI ".
Maana.Tafsiri kwenda kwenye lugha gani? Au unauliza maana?
Mosinyori ni wadhifa anaopewa Padre aliyefanya mambo mazuri Sana ktk Utume wake.Wadhifa huo hutolewa na Papa baada ya kuombwa na Askofu wa Jimbo ambalo Padre husika yumo.Maana.
Asante.Mosinyori ni wadhifa anaopewa Padre aliyefanya mambo mazuri Sana ktk Utume wake.Wadhifa huo hutolewa na Papa baada ya kuombwa na Askofu wa Jimbo ambalo Padre husika yumo.
Wadhifa huo hauendani na madaraka yoyote Yale isipokuwa tu heshima ya kiprotokali mbele ya mapadre wenzake (first among equals) mosinyori kwa sheria mpya za kanisa lazima awe na 60+yrs