ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Nzuri au mbaya nijuwe kabla ya kumuombea?Father Mbiku R.i.p., mimi sio mkatoliki ila nilikuwa nasikia habari zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri au mbaya nijuwe kabla ya kumuombea?Father Mbiku R.i.p., mimi sio mkatoliki ila nilikuwa nasikia habari zako.
Mkuu wa malaika wa dunia hii amekufa ndio itakuwa mapadre ambao wito wao mkuu ni kuhubiri maisha baada ya kifo? Wewe vipi?Na mapadiree wanakufaga?
Mkuu hakuna kazi maalum ambayo hutumika Kama kigezo bali utendaji mzimaAsante.
Huyu alifanya nini mpaka akapewa?
Dah; hata mimi nilijuwa hivyo kumbe mambo bado! Serikali itoe mwongozo thabiti sasa.Duuuuh mi nilijua tanzia ya mwisho itakuwa ya Jiwe kumbe mambo bado yanaendelea!
Raha ya milele umpe eee bwana..
Nukuu hii toka google, kwa wavivu wa kutafuta:Tafsiri kwenda kwenye lugha gani? Au unauliza maana?
Dah; hata mimi nilijuwa hivyo kumbe mambo bado! Serikali itoe mwongozo thabiti sasa.
Ahsante, kwa lugha nyingine anaitwaje au na papa anasema hivyohivyoMosinyori ni wadhifa anaopewa Padre aliyefanya mambo mazuri Sana ktk Utume wake.Wadhifa huo hutolewa na Papa baada ya kuombwa na Askofu wa Jimbo ambalo Padre husika yumo.
Wadhifa huo hauendani na madaraka yoyote Yale isipokuwa tu heshima ya kiprotokali mbele ya mapadre wenzake (first among equals) mosinyori kwa sheria mpya za kanisa lazima awe na 60+yrs
Not Mzaramo ni Wamatumbi wa Kilwa huko LindiFather Mbiku ana sifa moja kubwa; ametokea katika familia ya kizaramo wote dini ya kiislamu akasomea upadre. Apumzike kwa amani Monsignor Rev. Mbiku.
Jina ndio hilo hilo mkuu sisi tumelitohoa hilo neno (Jina) kuwa kiswahili, kilichobadilika ni Maandishi tu ili liendane na kiswahiliAhsante, kwa lugha nyingine anaitwaje au na papa anasema hivyohivyo
Nadhani ingekuwa Minsonyori Padre...... bila hivyo waweza dhani ni jina lake la ubatizoJina ndio hilo hilo mkuu sisi tumelitohoa hilo neno (Jina) kuwa kiswahili, kilichobadilika ni Maandishi tu ili liendane na kiswahili
Ww ni dini gani?Father Mbiku R.i.p., mimi sio mkatoliki ila nilikuwa nasikia habari zako.
Ni sawa na useme Askofu Padre......, au kadinali Askofu Padre....., hicho ni cheo ukishapewa cha nyuma yake unaachaNadhani ingekuwa Minsonyori Padre...... bila hivyo waweza dhani ni jina lake la ubatizo
Mzaramo wa wapi huyu baba ni mmatumbi na mpaka kwao alikozaliwa kule umatumbini napafahamu.Father Mbiku ana sifa moja kubwa; ametokea katika familia ya kizaramo wote dini ya kiislamu akasomea upadre. Apumzike kwa amani Monsignor Rev. Mbiku.
Mosinyori ni wadhifa anaopewa Padre aliyefanya mambo mazuri Sana ktk Utume wake.
Asante.
Huyu alifanya nini mpaka akapewa?