Nadhani pia ana undugu na marehemu Ngombale Mwiru Pia Kaka yake alikuwa mwalimu pale Mkwawa High School miaka ya late 70 alikuwa na jina la kiislamu padri huyu pia aliratibu ziara Papa John Paulo wa pili alipotembelea TanzaniaMzaramo wa wapi huyu baba ni mmatumbi na mpaka kwao alikozaliwa kule umatumbini napafahamu.
Duh..aisee..Duuuuh mi nilijua tanzia ya mwisho itakuwa ya Jiwe kumbe mambo bado yanaendelea!
Raha ya milele umpe eee bwana..
MlokoleWw ni dini gani?
Kingunge na padri mbiku ni wamatumbi ila hawana undugu wa damu, wote nazifahamu familia zao.Nadhani pia ana undugu na marehemu Ngombale Mwiru Pia Kaka yake alikuwa mwalimu pale Mkwawa High School miaka ya late 70 alikuwa na jina la kiislamu padri huyu pia aliratibu ziara Papa John Paulo wa pili alipotembelea Tanzania
Inawezekana ndiyo mwanzo wa THE ROAD TO....kwa ajili NUSU MLINGOTI tena kwa siku kadhaa kama siyo 21..Duuu! Tumeanza tena kurudi kwenye zile Tanzia! Anyway, R.I.P Father!
Tatizo sisi tunaidharau sn corona ila yenyewe inatuheshimuDuuu! Tumeanza tena kurudi kwenye zile Tanzia! Anyway, R.I.P Father!
Huyu mzee Ijumaa tumemlaumu sana kumbe alikuwa serious sick.Tulikuwa na Appointment naye ofisini akachelewa kufungua kwa vile alikuwa hajisikii vizuri but badaye akaamka akatuhudumia.Leo kafa dah.RIP Fr Dr Mbiku
Hapo kwenye kuratibu ziara ya Pope John Paul wa pili ndiyo kati ya sifa za kupewa u-Monsignor baada ya kupendekezwa na Kardinali Lauren Rugambwa.Nadhani pia ana undugu na marehemu Ngombale Mwiru Pia Kaka yake alikuwa mwalimu pale Mkwawa High School miaka ya late 70 alikuwa na jina la kiislamu padri huyu pia aliratibu ziara Papa John Paulo wa pili alipotembelea Tanzania