The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli.
Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo katika uchaguzi wa Viongozi mbalimbali kwa ngazi za Jumuiya, Vyama vya Kitume.