The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Na laana iwe juu ya hao wote.Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli.
Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo katika uchaguzi wa Viongozi mbalimbali kwa ngazi za Jumuiya, Vyama vya Kitume.
WaliojichaguaNa laana iwe juu ya hao wote.
Vitasa vinaendelea... Usicheze na RC hawa watu ni sawa na honey burger😀Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli.
Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo katika uchaguzi wa Viongozi mbalimbali kwa ngazi za Jumuiya, Vyama vya Kitume.
very trueKiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli.
Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo katika uchaguzi wa Viongozi mbalimbali kwa ngazi za Jumuiya, Vyama vya Kitume.
Kelele tu hizo kama za mnanda na kibao kata,wanywe bia zinazotokana na jasho la masikini kwa kigezo cha sadaka na fungu la kumiVitasa vinaendelea... Usicheze na RC hawa watu ni sawa na honey burger😀