Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Perfume kutoka babati [emoji23]Sina zarau ila nahisi harufu inakata kabla ujatoka nyumbani
Na inachafua nguo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama za chupa @5,000 faida wastani wa 1.6m mpaka 2.5m TZS kwa kila pipa. Upewe nini Tena?

View attachment 2247854
View attachment 2247863View attachment 2249528
Sasa pipa moja linakuwa na perfume ngapi au Pipa moja ni perfume aina moja,au ukishachukua hilo pipa ukifika kuna kitu unafanya ili upate perfume tofauti tofauti...?
 
Perfume kutoka babati [emoji23]Sina zarau ila nahisi harufu inakata kabla ujatoka nyumbani
Na inachafua nguo [emoji23][emoji23][emoji23]
sikulaumu ndio waafrika tulivyo huwa hatuamini vitu vya kwetu hata kidogo. Hapo ungeskia kiwanda kipo babati ila mmiliki ni mhindi au mwarabu kidogo ungekuwa na amani.
 
Back
Top Bottom