Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Hii inaweza kuwa na ukweli,mimi kuna siku nilishuka pale Manzese Dar,nikakuta mtu anauza hizi perfume zilikuwa ni nyingi mno,nikachagua iliyonivutia akanipimia nikaondoka zangu,nilipokuwa hotel nimetoka kuoga nikasema ngoja nijipulizie ,nilipata kizunguzungu cha ajabu,nika chukua nguo zote nilizopulizia nikazifunga kwenye mfuko wa plastick,siku nyingine pia nikajaribu kutest kupulizia ile hali ikanirudia tena,nilichofanya ni kuitupa ile perfume japo ilikuwa inanukia vizuri sana...
Ni aina gani au ni zile za buku tatu za kiarabu
 
Shida wengi wananunua perfume ambazo hawazijua ,wengi wakipita tu mjini wakiona machinga anauza perfume unanunua bila Hata kujua unahitaji ya aina gani,kisa tu umeambiwa ni nzuri
 
Ingia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
Biodiesel inaweza tengenezwa na products nyingi Sana kama mdau alivyofafanua hapo , ni wewe Tu kujifunza na kuchagua rawmaterial ambayo itakuwa cheap au with zero cost kwako then kutafuta mitambo ya uchakataji
 
Ingia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
Hadi weeds grasses / magugu na nyasi ni nzuri pia na wanasema zina biomass kubwa hivyo ni nzuri kuzalisha biodiesel
 
Hapana,ni hizi ambazo zimezagaa sasa hivi kwenye maduka mengi,zina majina ya perfume zenye majina makubwa...
Inabidi ufanye utafiti kwanza kabla ya kwenda dukani ,Kuna maduka wanauza perfume nzuri na wengi Wana zipenda bila ata malalamiko pia usipende kutumia perfume zenye harufu kali ,wengi wanakereka na hizi perfume
 
Ingia youtube elimu tele zimejaa.
Sisi ni masikini sababu hatusaki maarifa.
Jifunze kutengeneza ethanol, methanol, biofuel nk.
Raw materials takataka za plastic,tairi na mipira,oil chafu,maranda,mabaki ya mboga na matunda yaliyoharibika masokoni,unga wa muhogo,mbegu za muarobaini,nyonyo, mibono, majani na nyasi nk zote hizi unapata clean fuel ya kuendesha gari, mitambo, na KILA aina ya injini ya chombo cha moto.
Mkuu una uhakika na hili?
 
Kusikia zinatokea babati ni jambo la kupongezwa.

Soon vitaibuka viwanda vya brand vya hadhi mbali mbali kama ilivyo kwa bidhaa za pombe Gin .. ambapo kuna main distiller yupo Mwanga, Kilimanjaro wengine wote wanaagiza na kudilute, kuweka flavor na packaging kulingana na soko lao.
Manyara Kuna miti Fulani. Inatumika kutengeneza perfume inaitwa misandali siyo ajabu kuwepo kiwanda maana ilikuwa inauzwa sana nje hasa China
 
Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama za chupa @5,000 faida wastani wa 1.6m mpaka 2.5m TZS kwa kila pipa. Upewe nini Tena?
Hiyo perfume si itakuwa na harufu ya magadi
 
Back
Top Bottom