kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
My dia mm nimuhanga wa kebehi, kubezwa kwa kuleta fursa hapa jukwani kutoka kwa wadau. Nilishukiwa kama mwewe vile. Mwisho w cku nikaona ngoja kila mtu ashinde mechi zake tuSijaelewa kwanini mnamshambulia Mtoa Mada,
Kwani huko kwenu hamuoni hayo mapafyum ya kupima?? Yamejaa tele hata wakazi wa Kigamboni karibu na kukata tiketi yanapoingilia magari kuna duka pale wanauza hayo madude ya kupima,
Mtoa Mada kasema ukitaka kufanya biashara nenda Babati kanunue Pipa lako uanze kupiga hela, wanatokea jobless wanaleta ujuaji, kwa kweli Jamii Forum kuna wajuaji sana na ukiwaangalia wengi ni graduates waliokata tamaa.