Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

Perfume kutoka babati [emoji23]Sina zarau ila nahisi harufu inakata kabla ujatoka nyumbani
Na inachafua nguo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa wazoefu wa hiz perfume za kupma ..naomba maelezo zaid ......mfano zinapakiwa kwnye package gan na faida zikoje n.k....walau kamchanganuo kias

Chupa ndogo elf 5
 
Sasa pipa moja linakuwa na perfume ngapi au Pipa moja ni perfume aina moja,au ukishachukua hilo pipa ukifika kuna kitu unafanya ili upate perfume tofauti tofauti...?
 
Perfume kutoka babati [emoji23]Sina zarau ila nahisi harufu inakata kabla ujatoka nyumbani
Na inachafua nguo [emoji23][emoji23][emoji23]
sikulaumu ndio waafrika tulivyo huwa hatuamini vitu vya kwetu hata kidogo. Hapo ungeskia kiwanda kipo babati ila mmiliki ni mhindi au mwarabu kidogo ungekuwa na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…