Unaruhusu kulipa kwa instalments?Njoo uongeze asset mzee!
Mjini nyumba.
HIvi Watanzania ujanja ujanja tutaacha lini?mfano halisi ni huyu dalali,Mfano halisi ni huyu dalali,iko hivi mwanzo alidai eneo ni 25m kwa 40m,nikashawishika nikamtafuta tukaenda kuliangalia,ukweli ni kwamba eneo halizidi 10m kwa 16m,sasa sijui anamdanganya nani,nilichukia sana halafu mbaya eti anadai ela ya udalali tena kwa kushtukiza yan wakat tunaagana ye anataka ela ya udalali ambayo haipo kabisa katika makubaliano yoyote,kwanza zaidi anatakiwa akulipe mteja kwa kutoa taarifa za uwongo.NB.NASHAURI KAMA MTU UNAHITAJ ICHO KIWANJA KWANZA ELEWA KINA VIPIMO VYA 10M KWA 16M NA SIO KAMA MAELEZO YA DALALI,NA PIA SIO KIGOGO FRESH NI MBELE PANAITWA DAMPO AMBAPO NI KAMA 2KM KUTOKA KITUO CHA DAMPO NA SIO KIGOGO FRESH.PAGALA linapatikana PUGU, kigogo fresh
Kutoka lami ni 1.3km
Ina vyumba vitatu, sebule na choo cha ndani.
Eneo la kiwanja ni upana 17meter na urefu 27meter
Huduma zote za kijamii (maji, Umeme na barabara vyote vinapatikana)
Documents zilizopo ni za mauziano ya kiwanja na eneo bado halijapimwa.
Bei: 12.5m
Mawasiliano: 0785 857564
View attachment 1183647View attachment 1183649View attachment 1183652View attachment 1183655
DahhhHIvi Watanzania ujanja ujanja tutaacha lini?mfano halisi ni huyu dalali,Mfano halisi ni huyu dalali,iko hivi mwanzo alidai eneo ni 25m kwa 40m,nikashawishika nikamtafuta tukaenda kuliangalia,ukweli ni kwamba eneo halizidi 10m kwa 16m,sasa sijui anamdanganya nani,nilichukia sana halafu mbaya eti anadai ela ya udalali tena kwa kushtukiza yan wakat tunaagana ye anataka ela ya udalali ambayo haipo kabisa katika makubaliano yoyote,kwanza zaidi anatakiwa akulipe mteja kwa kutoa taarifa za uwongo.NB.NASHAURI KAMA MTU UNAHITAJ ICHO KIWANJA KWANZA ELEWA KINA VIPIMO VYA 10M KWA 16M NA SIO KAMA MAELEZO YA DALALI,NA PIA SIO KIGOGO FRESH NI MBELE PANAITWA DAMPO AMBAPO NI KAMA 2KM KUTOKA KITUO CHA DAMPO NA SIO KIGOGO FRESH.
ndo hivo,nilimwambia kwakuwa umenidanganya vipimo sisumbuki kukupa ata sh.100 alilalama mwisho ikabak hivyo sikumpa kitu,lengo si kumchafulia ila kumtaka awe mkwel katika biashara zake.Dahhh
Akijibu hapa nitag mkuuHIvi Watanzania ujanja ujanja tutaacha lini?mfano halisi ni huyu dalali,Mfano halisi ni huyu dalali,iko hivi mwanzo alidai eneo ni 25m kwa 40m,nikashawishika nikamtafuta tukaenda kuliangalia,ukweli ni kwamba eneo halizidi 10m kwa 16m,sasa sijui anamdanganya nani,nilichukia sana halafu mbaya eti anadai ela ya udalali tena kwa kushtukiza yan wakat tunaagana ye anataka ela ya udalali ambayo haipo kabisa katika makubaliano yoyote,kwanza zaidi anatakiwa akulipe mteja kwa kutoa taarifa za uwongo.NB.NASHAURI KAMA MTU UNAHITAJ ICHO KIWANJA KWANZA ELEWA KINA VIPIMO VYA 10M KWA 16M NA SIO KAMA MAELEZO YA DALALI,NA PIA SIO KIGOGO FRESH NI MBELE PANAITWA DAMPO AMBAPO NI KAMA 2KM KUTOKA KITUO CHA DAMPO NA SIO KIGOGO FRESH.
Ulipelekwa na nan hapo site mkuu?HIvi Watanzania ujanja ujanja tutaacha lini?mfano halisi ni huyu dalali,Mfano halisi ni huyu dalali,iko hivi mwanzo alidai eneo ni 25m kwa 40m,nikashawishika nikamtafuta tukaenda kuliangalia,ukweli ni kwamba eneo halizidi 10m kwa 16m,sasa sijui anamdanganya nani,nilichukia sana halafu mbaya eti anadai ela ya udalali tena kwa kushtukiza yan wakat tunaagana ye anataka ela ya udalali ambayo haipo kabisa katika makubaliano yoyote,kwanza zaidi anatakiwa akulipe mteja kwa kutoa taarifa za uwongo.NB.NASHAURI KAMA MTU UNAHITAJ ICHO KIWANJA KWANZA ELEWA KINA VIPIMO VYA 10M KWA 16M NA SIO KAMA MAELEZO YA DALALI,NA PIA SIO KIGOGO FRESH NI MBELE PANAITWA DAMPO AMBAPO NI KAMA 2KM KUTOKA KITUO CHA DAMPO NA SIO KIGOGO FRESH.
Dahhh, kama ni kweli basi jamaa hafaindo hivo,nilimwambia kwakuwa umenidanganya vipimo sisumbuki kukupa ata sh.100 alilalama mwisho ikabak hivyo sikumpa kitu,lengo si kumchafulia ila kumtaka awe mkwel katika biashara zake.
Hawezi kutoa Jibu LA kuelewekaAkijibu hapa nitag mkuu
Dahhh, kwa hiyo anakusingizia mkuu?Ulipelekwa na nan hapo site mkuu?
Mbona unalalamika na kutoa sababu zisizo na msingi?
Huenda sio wewe uliyempeleka ila ukubwa wa kiwanja na sehemu kilipo ni kama alivyosema ?Ulipelekwa na nan hapo site mkuu?
Mbona unalalamika na kutoa sababu zisizo na msingi?
Kiwanja kina meters 27*18Huenda sio wewe uliyempeleka ila ukubwa wa kiwanja na sehemu kilipo ni kama alivyosema ?
Uungwana ni vitendo kama asemayo ni kweli wewe muombe msamaha badilisha tangazo liendane na uhalisia alafu uendelee kutafuta mkate wako mkuu..., mabishano hapa ni wewe ndio utapoteza utajikuta unabadilisha ID bure mkuu..., kuteleza sio kuanguka..
Basi mtafute huyo muhanga aliyefunga safari yake na kusumbuliwa huenda sio kwao ili mueleweshane.., mteja mara zote ni mfalme.., na huyu aliyekuja mpaka kwako ni mteja potential angeweza kununua kweli kama ingekuwa ukubwa huo na kama alienda jirani na sio kwako huenda akaja kwako..Kiwanja kina meters 27*18
Nilienda na mteja weekend iliyopita na alipima mwenyewe na Fundi aliyekuja nae.
Kuhusu eneo lote linaitwa kigogo fresh na kituo ndio kinaitwa dampo.