NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
- Thread starter
- #41
Kiwanja hakijalipiwa mnunuzi yuko mkoani.Kiufupi, kiwanja hakijanunuliwa ila umeamua kuchutama kwa style hiyo, sema nimekuwekea notification ya Dalali mbabaishaji ili siku nisije kuingia mkenge.....
Uaminifu na Ukweli ni nguzo ya mafanikio... Umejiharibia sana. Ukitaka kurudishia imani yako weka vithibitisho vyote kama hiyo biashara imefanyika kama unavyosema.
But process zote ameshakamilisha kupitia watu wake.