House4Sale Pagala la kisasa, Bei imepungua (pugu)

House4Sale Pagala la kisasa, Bei imepungua (pugu)

Acha usanii,jamaa yako mnashea namba za simu?mimi nilienda nawewe halafu hoja sio nilienda na nani ila ukweli ni kwamba hakina vipimo ulivyovisema,ata tukiamua wana jf twende site atupati hivyo vipimo,KUNA MADALALI WANAFANYA MAJUKUMU YAO KWA UFASAHA ILA UNATAKA KUWAHARIBIA.NILIAMUA KUTULIA TANGU SIKU ILE ILA NAONA UNAZIDI KULETA UONGO NDO NIKAAMUA NICHOMOE BATTERY.
Mlikuta vipimo ngapi kwa ngapi?
Na mlitumia kipimo gani
 
Watu wazima tumekuelewa, ila kuwa muaminifu hii itakusaidia uaminike wakati mwingine ukileta tangazo la biashara
saana mkuu,na alichonikera zaidi ni kwamba licha ya kutoa maelezo ya uongo bado alitaka nimpe ela ya udalali eti ooh nimeacha kazi zingine mara ilikuwa nimpeleke mteja sehemu mara nimetumia nauli yangu,nikamwambia nitakulipia nauli turud akasema mi nataka niende kisarawe kwahiyo nipe ela ya kuja kuona site,nikacheka sana na nilifoka sana nilitulizwa na rafiki yangu aliyenisindikiza nikatulia ilipofika daladala nikapanda nayeye akapanda ingawa yeye alisingizia anaenda kisarawe ila mpk tunafika kona ya kisarawe hakushuka mpk tunafika banana yumo,nami nikamuonesha jeuri ata ile nauli sikumlipia.
 
Acha usanii,jamaa yako mnashea namba za simu?mimi nilienda nawewe halafu hoja sio nilienda na nani ila ukweli ni kwamba hakina vipimo ulivyovisema,ata tukiamua wana jf twende site atupati hivyo vipimo,KUNA MADALALI WANAFANYA MAJUKUMU YAO KWA UFASAHA ILA UNATAKA KUWAHARIBIA.NILIAMUA KUTULIA TANGU SIKU ILE ILA NAONA UNAZIDI KULETA UONGO NDO NIKAAMUA NICHOMOE BATTERY.
Usanii wa nin ndugu?
Dogo alikuja kukupokea banana na alitoka ofisini njia panda segerea kweli au sio kweli?
 
Moderator watu kama hawa ndio wanatakiwa kupigwa BAN Maisha humu JF kwa kuitumia kutapeli watu. Mie kuna mmoja alitangaza anauza viti vya plastiki vile kama vyenye miguu ya chuma kwa elfu 15 nikaongea nae akasema anavyo 10 nikamwambia navifuata Kimara. Akasema vimesisha niende Mabibo wakati nusu saa iliyopita alisema anavyo 10. Akasema nimfuate Mabibo ila nimtumie nusu bei ya viti vyote nikaona huyu dogo anatafuta kulala ndani

Nikamwambia napita sasa hivi natoka job nakuja kuvichukua hapo mabibo situmi advance mpk nivione na nikuone na wewe. Akazima simu

Nimeandika kwa urefu kwa kuwa anajijua humu ujumbe umfikie popote alipo na ningekutana nae siku ile angejifunza adabu
Daah mkuu wajinga wa hivyo wapo wengi dalali huyu akiwemo.
 
Kwa hiyo ukienda wewe kinaongezeka ukubwa na akienda jamaa yako wa Tabata kinapungua? Njia ya muongo ni fupi sana. U can fool some people sometimes but u can not fool all the people all the time
Mkuu nilienda na huyu huyu na ni kweli nilikuwa na rafiki yangu ila apo anachofanya ni defence baada ya kuona battery imechomolewa ila anashindwa kuelewa battery ikichomolewa huponi kirahisi.
 
Usanii wa nin ndugu?
Dogo alikuja kukupokea banana na alitoka ofisini njia panda segerea kweli au sio kweli?
Acha ujinga!

Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Wewe jifanye mjuaji tu uone utakavyoshughulikiwa. Wewe unadhani watu wote madalali njaa kama wewe??

Kwani unaona ugumu gani kusema "guys, sorry"!!!

Haya uliyoyafanya ni makosa kisheria na watu "TUNAWEZA" kukushughulikia ba kukuonyesha "the other side" of the world.
 
Mkuu nilienda na huyu huyu na ni kweli nilikuwa na rafiki yangu ila apo anachofanya ni defence baada ya kuona battery imechomolewa ila anashindwa kuelewa battery ikichomolewa huponi kirahisi.
Sasa kama ulienda na Mimi kwanin nikatae?
Kwamba uliyeenda nae alifanya tukio gani mpaka nikatae kwamba hukuenda na Mimi?
Sioni sababu ya kukana kama ulienda na Mimi au hukuenda na Mimi.
 
Acha ujinga!

Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Wewe jifanye mjuaji tu uone utakavyoshughulikiwa. Wewe unadhani watu wote madalali njaa kama wewe??

Kwani unaona ugumu gani kusema "guys, sorry"!!!

Haya uliyoyafanya ni makosa kisheria na watu "TUNAWEZA" kukushughulikia ba kukuonyesha "the other side" of the world.
Una Uhuru wa kusema unachokifikiri.
 
Kwa hiyo ukienda wewe kinaongezeka ukubwa na akienda jamaa yako wa Tabata kinapungua? Njia ya muongo ni fupi sana. U can fool some people sometimes but u can not fool all the people all the time
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]watu mnajua kuumbua watu teh teh
 
Unaweza kununua kitu bila kujiridhisha??
Kusema vipimo vilikua ni 40*25
Na baada ya kupima vikawa 27*17 sidhan kama kuna utapeli uliofanyiwa mathalani hukuambiwa utoe pesa yeyote.
Kilicho hapo ni errors kwenye dimensions na sidhan kama kuna utapeli wowote huyo ndugu aliofanyiwa.
akuna 27 kwa 17 niko tayari kuwekeana day lolote
 
Naomba unitumie details zake kama namba za simu, jina lake na chochote ulichonacho kuhusu huyo jamaa via PM. Ngoja ni deal nae kisheria ili apate kujifunza au vp tumkamate mpk anayeuza ilo eneo. Nataka nifanye kitu iwe funzo kwa wote hapa JF
poa
 
Mkuu uwe serious wamezidi sana hawa
 
Back
Top Bottom