House4Sale Pagala la kisasa, Bei imepungua (pugu)

Kiwanja hakijalipiwa mnunuzi yuko mkoani.
But process zote ameshakamilisha kupitia watu wake.
 
Moderator watu kama hawa ndio wanatakiwa kupigwa BAN Maisha humu JF kwa kuitumia kutapeli watu. Mie kuna mmoja alitangaza anauza viti vya plastiki vile kama vyenye miguu ya chuma kwa elfu 15 nikaongea nae akasema anavyo 10 nikamwambia navifuata Kimara. Akasema vimesisha niende Mabibo wakati nusu saa iliyopita alisema anavyo 10. Akasema nimfuate Mabibo ila nimtumie nusu bei ya viti vyote nikaona huyu dogo anatafuta kulala ndani

Nikamwambia napita sasa hivi natoka job nakuja kuvichukua hapo mabibo situmi advance mpk nivione na nikuone na wewe. Akazima simu

Nimeandika kwa urefu kwa kuwa anajijua humu ujumbe umfikie popote alipo na ningekutana nae siku ile angejifunza adabu
 
Kwa hiyo ukienda wewe kinaongezeka ukubwa na akienda jamaa yako wa Tabata kinapungua? Njia ya muongo ni fupi sana. U can fool some people sometimes but u can not fool all the people all the time
 
Mmh wabongo sie kilakitu ujanja tu ndio tunauweka mbele ona sasa kashakukosa mteja
 
Aliyepelekwa kuona hilo PAGALA,
Kuna kitu alichotapeliwa na huyo ndugu?
 
Aliyepelekwa kuona hilo PAGALA,
Kuna kitu alichotapeliwa na huyo ndugu?
Kutapeli ni kutoa false information ili upate faida au kwa lugha ya Kiswahili ni kutumia urubuni ili uweze kujipatia fedha isivyo halali. Kwa kudanganya tu ukubwa wa eneo ni utapeli tosha. Kwa ufupi hata huyo mteja hewa unaosema ameshakamilisha process za kukinunua ametapeliwa kama ni kweli

Naweza kukufungulia kesi kama mfano kwa wengine na kukushitaki kwa mpk ulichokifanya hapa na ukawa na hatia
 
Kwa hiyo ukienda wewe kinaongezeka ukubwa na akienda jamaa yako wa Tabata kinapungua? Njia ya muongo ni fupi sana. U can fool some people sometimes but u can not fool all the people all the time
Nimeshangaa sana. Kwa kifupi anatapatapa.
 
Unaweza kununua kitu bila kujiridhisha??
Kusema vipimo vilikua ni 40*25
Na baada ya kupima vikawa 27*17 sidhan kama kuna utapeli uliofanyiwa mathalani hukuambiwa utoe pesa yeyote.
Kilicho hapo ni errors kwenye dimensions na sidhan kama kuna utapeli wowote huyo ndugu aliofanyiwa.
 
Naomba unitumie details zake kama namba za simu, jina lake na chochote ulichonacho kuhusu huyo jamaa via PM. Ngoja ni deal nae kisheria ili apate kujifunza au vp tumkamate mpk anayeuza ilo eneo. Nataka nifanye kitu iwe funzo kwa wote hapa JF
 
Nimechukua details zako nataka nikuonyeshe jinsi gani una kosa kisheria na nitaleta mrejesho hapa
 
Naomba unitumie details zake kama namba za simu, jina lake na chochote ulichonacho kuhusu huyo jamaa via PM. Ngoja ni deal nae kisheria ili apate kujifunza au vp tumkamate mpk anayeuza ilo eneo. Nataka nifanye kitu iwe funzo kwa wote hapa JF
Hata Mimi naweza kukupatia hapahapa ukizihitaji
It's minor case!
 
Ivi jamani mfano ukiwa na uwanja wa urefu 15 na mapana 11 unaweza jenga nyumba ya kuishi kweli ama bei yake inaweza ikawa kiasi gani,uwanja upo kivule
 
Acha usanii,jamaa yako mnashea namba za simu?mimi nilienda nawewe halafu hoja sio nilienda na nani ila ukweli ni kwamba hakina vipimo ulivyovisema,ata tukiamua wana jf twende site atupati hivyo vipimo,KUNA MADALALI WANAFANYA MAJUKUMU YAO KWA UFASAHA ILA UNATAKA KUWAHARIBIA.NILIAMUA KUTULIA TANGU SIKU ILE ILA NAONA UNAZIDI KULETA UONGO NDO NIKAAMUA NICHOMOE BATTERY.
 
Pole sana, naona umepatwa na jazba
Mungu akufanyie wepesi na akuondolee lilo ndani ya nafsi.
Kiwanja kinalipiwa 12m.
mwanzo ulianza 16m,mpk sasa tangazo unasema mwisho 10m halafu unasema mtu atalipa 12m,labda kama hajafika site.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…