kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 18,180
- 22,280
Asante kwa mchango wako!! Chukueni hii itawasaidia baadae.Hakuna sehemu Ina matapeli wa viwanja km mapinga kuweni makini wakuu, kuanzia bunju b hadi bagamoyo, uje kiwangwa, kote ni shida tupu!
KAZI ni kipimo cha utu