fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Mitano kwake
Tacy zille acha dharau hata kama tuache
It's better we take donkeys and walk....
Mbona tunawafuata wenyewe huko waliko na kusain mikataba huko huko.Nao tuwapige ban hakuna kutoa rasimali yoyote hapa, iwe madini, product za kilimo, misitu.
umeshachelewa kamanda wakigoma kuchukua madini yetu na wakayabatiza jina la jiwe utamuuzia nani hapa Duniani?Nao tuwapige ban hakuna kutoa rasimali yoyote hapa, iwe madini, product za kilimo, misitu.