Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
6]Huyo dada asithubutu kutafuta mwanamume ili kulipiza kisasi[/COLOR]. Itakuwa ni sawa na kumwaga petrol kwenye kibatali. Cha msingi atulie awashughulikie. Akitumia jaziba yeye ndiye atakuwa victim kwani anaweza kujikuta anawaachia nyumba. Mdogo wake atatanua na kumtesea watoto. Atulie na kutumia akili ili awashikishe adabu. Any miscalculation ataongeza majuto juu ya majuto aliyonayo sasa.
kwani atawaacha wanae nyuma? ..na hatakiwi kuwaachia nyumba bali wao ndio wanatakiwa kumuachia nyumba wakaanze maisha yao...hakuna cha kuwashikisha adabu zaidi ya kuachana na mume na mdogo kumuachia akiamua kuanza maisha ya ndoa na shemeji yake sawa(hatanua/hatafurahia ndoa kamwe kwa kitendo alichomfanyia dadake)...baada ya kuwaacha waendee na maisha yao na mie ninaweza kuendelea na maisha yangu kwa kuwa na uhusiano mpya.