Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

Pains Over My Sister’s Pregnancy For My Husband…

6]Huyo dada asithubutu kutafuta mwanamume ili kulipiza kisasi[/COLOR]. Itakuwa ni sawa na kumwaga petrol kwenye kibatali. Cha msingi atulie awashughulikie. Akitumia jaziba yeye ndiye atakuwa victim kwani anaweza kujikuta anawaachia nyumba. Mdogo wake atatanua na kumtesea watoto. Atulie na kutumia akili ili awashikishe adabu. Any miscalculation ataongeza majuto juu ya majuto aliyonayo sasa.

kwani atawaacha wanae nyuma? ..na hatakiwi kuwaachia nyumba bali wao ndio wanatakiwa kumuachia nyumba wakaanze maisha yao...hakuna cha kuwashikisha adabu zaidi ya kuachana na mume na mdogo kumuachia akiamua kuanza maisha ya ndoa na shemeji yake sawa(hatanua/hatafurahia ndoa kamwe kwa kitendo alichomfanyia dadake)...baada ya kuwaacha waendee na maisha yao na mie ninaweza kuendelea na maisha yangu kwa kuwa na uhusiano mpya.
 
Sasa kama shemeji kasimama kuliko wewe kwa nn usijimegee?
Yaani namlisha home vibaka wajimegee aaah wapi labda sio mm hapo lazima kieleweke tena kwa kila mbinu na maarifa lazima nidumishe. Unakuta mtoto mwenye lainiiiiiiiiiiiiiii wesere hiloooooo dah mbona full mitego.

Fidel unajua kwangu mie mr kulala na sis wangu haina tofauti na kulala na mama nyamayao au mwanae wa kumzaa, hapo cna mjadala wala ctaki mambo ya kuyaongelea coz hicho kidonda hakitapona kamwe...waacha kabisa Fidel game haliendi kihivyo "eti lainiiiiii, wesere" wewe!
 
Jamani jamani wanaume muwe na huruma jamani na soni japo kidogo.... iweje muwe kula kula tu?? Yaani hamchagui na vya kula? ah mnakera sas nyie wenye tabia hiyo. Yaani ingekuwa mie ningefunga macho na ingewezekana ningeshikamana na mdogo wangu kisha kwa pamoja tunamtimua huyo mume tena kwa kumwaibisha ah. Vyangudoa nyie, wasichana wa kazi nyie, wafanyakazi wenzenu nyie bado kina Eliza wa viti virefu ah..... mtafikiri hamna utashi wa kujua lipi baya lipi zuri??? Sijui mnataka tuwe tunawafunga kamba za shingo kama mbwa?? ah wenye tabia hiyo mnakera sana.

Pole sana Mama flani huyo mwanaume ni mnyama na mdogo wako amerubuniwa tu (Unless ana umri sawa na huyo mumeo)
Ah mie nimechoka kabisa.

""Nilipomuuliza mme wangu alianza kulia na kudai nimsamehe sana amejaribu sana kumwambia mdogo wangu akatoe hiyo mimba ili asiniumize pale nitakapogundua lakini mdogo wangu alikataa na kudai amepata alichokua anakihitaji ""

hiyo jeuri ya mdogo mtu hapo juu inaonyesha kabisa hajarubuniwa bali alikubali kwa matakwa yake.....kama alikubali kwa matakwa yake bac hapo red huyu hafai kuungana nae tena(kwangu ingekuwa ndio mwisho wa undugu)....
 
Hahahahaha naona una hasira sana vp umesha olewa tayari?
Wanawake huwa mnachuja alafu mnazidiana kiwango achilia mbali na utundu hata ulainiiiiiiiiii

temea mate chini Fidel....nitasema unayaongea hayo coz bado hujaingia kwenye game....fikiria mara mbili kauli yako.
 
Usichoke MJ1

Wadogo zenu wa kike msiwalete kukaa nao nyumba moja! Wao ndio wanaowashawishi waume zenu na sio vice versa: Mara apitie kazini kwake; Mara amtumie sms; Mara amwombe hela ya Saluni; Mara hiki mara kile; What do you ladies expect?

huko tutakuwa tunafikia mbali...ctaki kuwa na wac wac wa maisha kiac hiki, yaani sis wangu nimzuie kuja kwangu nikihofu yatatokea ta kutokea? hapana hayo mashaka cyapi nafac kabisa, hiyo ndoa kwangu itakuwa mashakani.
 
Yaani huyo baba flani amlishe yeye atakate na kung'aa juu alafu awe lainiiiiiii uwaachie wahuni wale agggggggggggggrrr hii haiwezekani lazima baba mwenye nyumba nianze kwanza si bora nakula chakula bora kuliko niende kuokota wa barabarani.

unackitisha sana.....tena sana sana !..LORD HAVE MERCY ON U.
 
\\FL
this is so simple,
mshauri mama amvumilie mdogo wake ajifungue,then mtoto abaki naye hapo kwake na mdogo wake arudi home akajitafutie maisha.
 
temea mate chini Fidel....nitasema unayaongea hayo coz bado hujaingia kwenye game....fikiria mara mbili kauli yako.

Nyamayao leo unanipiga nyundo kweli.
Lakini ukweli utabakia ukweli tuongee wazi wazi kuna vibabu vinachukua wadogo zetu hao si sawa na wajuu zao si bora huyu anae mega mdogo wako kwa kuinusuru ndoa yako jamaa anaweza akamega nje akapata upupu huko.
 
aombe kwa nani...hizo karatac zitawatoa watu roho, yaani ukae usubirie talaka kwa limwanaume la aina hii?...ni mtaji unasubiria au?

kwa mie hapo ni tiketi tayari ya kuachana na hawa mafisadi wa mapenzi ..naangalia ustaarabu wa maisha yangu na watoto mengineyo watajua wenyewe ..wakiamua waoane kama mke na mme
 
hilo tatizo ni zito haswa maana hata ukimuacha mmeo lakini mmezaa nae watoto lazima mtaonana tu kwa kuwa watoto wenu wapo kuna tukio litatokea mtakutana tena mara kwa mara na hata huyo mdogo wako mtakutana nae kila mara kwenye shughuli za kiukoo na kindugu hapo tatizo litakuumiza mpaka unaenda mavumbuni siku ya kifo

cna shida na yeye kuja kuwaona wanae, cna shida na kukutana na mdogo wangu kwenye mambo ya kifamilia, lakini undugu tutakuwa tumeshauzika zamani.
 
Nyamayao leo unanipiga nyundo kweli.
Lakini ukweli utabakia ukweli tuongee wazi wazi kuna vibabu vinachukua wadogo zetu hao si sawa na wajuu zao si bora huyu anae mega mdogo wako kwa kuinusuru ndoa yako jamaa anaweza akamega nje akapata upupu huko.

Kwani ndani hakuna upupu tena huyo binti inavyoonekana alikuwa amekubuhu katika sekta hiyo:confused2:
 
FL1, hilo litakuwa kosa kubwa la kiufundi (technical error/miscalculation) kwa upande wa huyo mama. Itakuwa sawa na kuachia mali zake kwa mtu mwingine bila kuzipigania. Hata ikibidi kuwaacha baadaye lakini awashughulikie kwanza. Huyo mdogo mtu anahitaji kupewa disclipline itakayomsaidia maishani mwake.
My wife alinambia kuwa kitu cha kwanza angeanzia kwa vijana wanaona visu, then angeanza kutengeneza mishikaki toka kwa huyo binti mpumbavu kabla ya kuhamia kwa mume. Siyo lazima kumchinja ila lazima wote wapate adhabu inayolingana na kosa lao kabla ya kuamua future ya hiyo ndoa. Kwa vyovyote vile, nashauri huyo dada asivunje ndoa yake (kwani atawatesa watoto wake) ila pia asimpe hata dakika moja (nyingine) huyo mdogo wake kuendekeza upuuzi na mume wake!

yale yale...mhhh kwenye hizi mila zetu zinatuharibu kabisa! ctakaa niteseke maishani kwa kusema watoto watateseka, watoto wan uhawatateseka kwa kumkosa baba asiye na adabu/mzinzi/mchafu wa tabia......na hapo unaposema acmpe hata dk 1 mdogo mtu kuendelea na mume wake unamaanisha nini? kwamba afanyaje kama mdogo mwenyewe ameshasema ndio kitu alichokuwa anahitaji, cjiui nikijiona wakati kabla tanga halijavunjwa mwanaume kashaoa zamani...hii ndoa kwangu haipo kabisa, ningeivunja dk hiyo hiyo nilivyofahamu haya mambo, mambo ya kufatilia mali ni baada ya kuivunja na wala sihitaji cjui kakaratac cha kuvunja ndoa, naivunja mwenyewe kama nilivyokubali kwa hiari yangu anioe.
 
unackitisha sana.....tena sana sana !..LORD HAVE MERCY ON U.

Mpendwa Nyamayao... anachokwambia Fidel80 ni kitu kinachotokea sana kwenye ndoa hizi.... Kuna cases nyingi sana za aina hii. Asilimia kubwa sana ya wanaume wanashiriki ngono na ndugu wa wake zao... Wadogo zenu (especially siku hizi) wana tabia za ajabu sana... anapokuona una amani kwenye ndoa yako, anaona kwamba unafaidi sana, anadhani mumeo anakupa kila kitu, mfano gari, pesa, nk. Sasa na yeye anahisi kwamba atafaidi the same way... Kwa hiyo anaanza kujilengesha kwa mwanaume.... na unajua wanaume ni kama panya... hata kama kuna magunia 100 ya mahindi stoo atataka ayatoboe yote ajue kilichomo, kwa hiyo usitegemee (under the sun) kwamba pindi mdogo wako atakapojilengesha mwanaume atamwacha... ni mmoja kati ya 100 atafanya hivyo.

Sasa kumbuka kwamba mpaka mdogo wako afikie kufanya haya atakuwa na ill intentions, anataka kufanya mapinduzi na ujue wanapokuwa kwenye majamboz ndio unakuta na mwanaume anatoa ahadi kedekede... akianza na Blackberry, anaambia mengine yatafuata. Kumbuka mwanaume anakuwa anamtumia tu kama kiburudisho, lakini mdogo wako yeye anakuwa na ill intentions za kumiliki... then inatokea Mimba.... U know the rest...

Lakini kumbuka pia ni vigumu sana kwa mwanaume kuzuia tamaa zake especially akiwa na binti karibu yake, mara kavaa kipedo, mara kaptula na kitopu sijui, mara nightdress nyepesii anawatakia usiku mwema, mara kanga moja, kwa kweli jamaa atafanya kila hila mpaka ampate... Msaada wa Mungu unahitajika sana katika hili.... Dumuni katika maombi
 
firstlady,
WHO IS TO BLAME HERE?

Jibu liko wazi, sisi waafrika tunapenda kuiga vya wazungu na huku hatuviwezi, tunapenda kujisahau, hatuweki mipaka kati ya shemeji na mume, wakulaumiwa ni huyo mama hakujiweka sawa kwenye nafasi yake, kuzuia hawa watu kuzoeana mpaka wanatongozana.
 
Nyamayao leo unanipiga nyundo kweli.
Lakini ukweli utabakia ukweli tuongee wazi wazi kuna vibabu vinachukua wadogo zetu hao si sawa na wajuu zao si bora huyu anae mega mdogo wako kwa kuinusuru ndoa yako jamaa anaweza akamega nje akapata upupu huko.

una hakika gani kama mdogo wangu ndio hajakuletea wewe upupu? mlipima au mliparamiana tu......
 
Mpendwa Nyamayao... anachokwambia Fidel80 ni kitu kinachotokea sana kwenye ndoa hizi.... Kuna cases nyingi sana za aina hii. Asilimia kubwa sana ya wanaume wanashiriki ngono na ndugu wa wake zao... Wadogo zenu (especially siku hizi) wana tabia za ajabu sana... anapokuona una amani kwenye ndoa yako, anaona kwamba unafaidi sana, anadhani mumeo anakupa kila kitu, mfano gari, pesa, nk. Sasa na yeye anahisi kwamba atafaidi the same way... Kwa hiyo anaanza kujilengesha kwa mwanaume.... na unajua wanaume ni kama panya... hata kama kuna magunia 100 ya mahindi stoo atataka ayatoboe yote ajue kilichomo, kwa hiyo usitegemee (under the sun) kwamba pindi mdogo wako atakapojilengesha mwanaume atamwacha... ni mmoja kati ya 100 atafanya hivyo.

Sasa kumbuka kwamba mpaka mdogo wako afikie kufanya haya atakuwa na ill intentions, anataka kufanya mapinduzi na ujue wanapokuwa kwenye majamboz ndio unakuta na mwanaume anatoa ahadi kedekede... akianza na Blackberry, anaambia mengine yatafuata. Kumbuka mwanaume anakuwa anamtumia tu kama kiburudisho, lakini mdogo wako yeye anakuwa na ill intentions za kumiliki... then inatokea Mimba.... U know the rest...

Lakini kumbuka pia ni vigumu sana kwa mwanaume kuzuia tamaa zake especially akiwa na binti karibu yake, mara kavaa kipedo, mara kaptula na kitopu sijui, mara nightdress nyepesii anawatakia usiku mwema, mara kanga moja, kwa kweli jamaa atafanya kila hila mpaka ampate... Msaada wa Mungu unahitajika sana katika hili.... Dumuni katika maombi

Ahksante Sana Mhashamu Baba Askofu kwa ufafanuzi - Deus tibi benedicas
 
Back
Top Bottom