Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Mshana jr nimekumbuka tukio la mtu kusema niangalie usoni unapotazamana nae yeye anaangalia katikati ya macho na anakutaja jina lako ilikuwa Lusaka,sasa hii nayo inahusiana na hili jicho la tatu au???
 
Nilidhani utazungumzia watu kuwa na mapaji makubwa ya uso. Maana mimi paji langu ni shida. kubwa kama kibuyu 😀😀
Mshana wewe ni noma.vp ndugu yako mzizi mkavu.yupo?.jamaa muongo kweli.siku moja ananiambia nitume pesa anitibu .duu nilishangaa kuna ujuzi gani wa kutibu watu bila kuonana?.
 
Mshana jr nimekumbuka tukio la mtu kusema niangalie usoni unapotazamana nae yeye anaangalia katikati ya macho na anakutaja jina lako ilikuwa Lusaka,sasa hii nayo inahusiana na hili jicho la tatu au???
Yeah lakini hawa ni wale waliotumia short cut ya nguvu za giza
 
I have learnt something,since when I started to understand this world: kwenye upande wa burudani, siasa, elimu, michezo n whatever "industry" there is something/somebody is controlling. huwezi kuwa kwenye "mainstream" kama you are not in "the industry"...hawa watu maarufu wengi % kubwa they are from "the industry",kuanzia wanamuziki mpaka viongozi wa dini...nashindwa kuielezea vizuri but,you can't be in "mainstream" if you are not from "the industry " fullstop.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mshana please am working brother! Do utaniua mkuu kwa vicheko khaaaaa! Yani mpaka nimemuonyesha mkuu wangu wa kazi juu ya umahili wako katika hii nyanja. Salaaaaaale [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti chooni unachanganya msuba na uchafu lazima ilete shida
 
ndomana anaevuta bangi kuacha inakua ngumu coz tayari anakua anamini inamtoa stress na jicho la tatu linamuaminisha hivo kihisia zaidi Cc @ Ray C @ Chidi Kibajaji
 
Realist? sawasawa Hivi kuna tofauti gani kati ya Realist na Pragmatist....nakuona pragmatist.
 
You are quite a Critical thinker.
 
Vingi sana ambavyo vimefichwa na wanaojua hawataki vijulikane na wengi
Nahisi ukiutafuta hata kwa kupapasapapasa utauona tu... na sidhani hata wewe ukiujua huo ukweli kama utarudi hapa na kuusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…