Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Mshana jr nimekumbuka tukio la mtu kusema niangalie usoni unapotazamana nae yeye anaangalia katikati ya macho na anakutaja jina lako ilikuwa Lusaka,sasa hii nayo inahusiana na hili jicho la tatu au???
 
Nilidhani utazungumzia watu kuwa na mapaji makubwa ya uso. Maana mimi paji langu ni shida. kubwa kama kibuyu 😀😀
Mshana wewe ni noma.vp ndugu yako mzizi mkavu.yupo?.jamaa muongo kweli.siku moja ananiambia nitume pesa anitibu .duu nilishangaa kuna ujuzi gani wa kutibu watu bila kuonana?.
041071fdab150ddc6870368a8b65602d.jpg
 
Mshana jr nimekumbuka tukio la mtu kusema niangalie usoni unapotazamana nae yeye anaangalia katikati ya macho na anakutaja jina lako ilikuwa Lusaka,sasa hii nayo inahusiana na hili jicho la tatu au???
Yeah lakini hawa ni wale waliotumia short cut ya nguvu za giza
 
Kwanza lazima ujue kuwa shetani anafanya mashindano na Mungu...kuna limitations nyingi sana amewekewa mwanadamu na Mungu wake ili abaki kumcha na kumwamini yeye tuu
Lakini shetani anazo siri nyingi za ufahamu wa juu zaidi na ndio hizo anazozitumia ili mwanadamu ajione ni zaidi na Mungu si chochote
Watu maarufu sana
Wachezaji maarufu sana
Watu matajiri sana
Waimbaji na hata waigizaji maarufu sana na watu wenye vipaji mbalimbali si wacha Mungu tena bali wanatumikia imani zenye mafundisho ya siri yanayokinzana na Mungu
I have learnt something,since when I started to understand this world: kwenye upande wa burudani, siasa, elimu, michezo n whatever "industry" there is something/somebody is controlling. huwezi kuwa kwenye "mainstream" kama you are not in "the industry"...hawa watu maarufu wengi % kubwa they are from "the industry",kuanzia wanamuziki mpaka viongozi wa dini...nashindwa kuielezea vizuri but,you can't be in "mainstream" if you are not from "the industry " fullstop.
 
Naamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.

dc556203657c470dbe63ccbc7d5602a4.jpg


Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.

c19a91f68d318dd66366655ef11060a7.jpg


Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.

f0ae1602a46f2fb9ece65cbd9be7812f.jpg


Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.

Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...

Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mshana please am working brother! Do utaniua mkuu kwa vicheko khaaaaa! Yani mpaka nimemuonyesha mkuu wangu wa kazi juu ya umahili wako katika hii nyanja. Salaaaaaale [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti chooni unachanganya msuba na uchafu lazima ilete shida
 
ndomana anaevuta bangi kuacha inakua ngumu coz tayari anakua anamini inamtoa stress na jicho la tatu linamuaminisha hivo kihisia zaidi Cc @ Ray C @ Chidi Kibajaji
 
Habari wakuu
Kwanza nimefurahi kwa uzi mzuri na wenye tija na wachangiaji kwa ujumla.
Secondly I don't believe in spirits, mimi nadhani it's not wise to to let fantasies take over reality.
Msingi: human body is the connection to each and everything that exist.
Vitu vingi vilivyosemwa it's just ideas
Rather than experience.
If you could be able to talk with fish and tell it to climb a tree it will live whole life wish it wouldn't met you at first place.
Simple experience:ushawahi kuchukua kisu chenye ncha na kukisogeza karibu na paji la uso ukiwa umefumba macho? Kama bado jaribu.
It's just inside reaction against situation
I'm not a believer and will never be.
#realistForLife
Realist? sawasawa Hivi kuna tofauti gani kati ya Realist na Pragmatist....nakuona pragmatist.
 
Operating system unayotumia kwenye kifaa chako iwe simu ama computer ni mfano mzuri na mdogo ukilinganisha na ubongo kama unaweza kuzuia OS ya kifaa chako kufanya kitu kimoja na kimoja tu basi utakua super genius kama hauwezi stop creating terrible ideas and start thinking critically
You are quite a Critical thinker.
 
Vingi sana ambavyo vimefichwa na wanaojua hawataki vijulikane na wengi
Nahisi ukiutafuta hata kwa kupapasapapasa utauona tu... na sidhani hata wewe ukiujua huo ukweli kama utarudi hapa na kuusema!
 
Back
Top Bottom