Mshana jr ina maana ili nizipate hizo faida za jicho la tatu ambazo n za kiroho ni sharti kuokoka kupata wokovu??? Wa kweliNi ngumu sana kumwambia mtu nini maana ya wokovu na faida zake kama hajaokoka
Dunia inazunguka na maisha yanakuwa live kwasababu ya nafsi hai....ni kupitia hiyo nafsi hai ndio mambo yote huanzia hapo na ufunguo wake ni hiki tunachokiita jicho la tatu....huyu ndie mtawala wa dunia
Instinct tunaweza sema ni jicho la tatu na ni machale pia
Heshima kwako ndugu, machapisho yako yananipa mwanga kila nisomapo.
Hutaamini utakachogundua hapa kuhusu paji lako la uso...hapa ndio asili ya neno kipaji ilipatikana..hapa napo ni lango hapa ndio penye njia ya kuingilia mlango wa sita baada ya ile mitano. Hili ni jicho la ndani jicho lisioonekana.lango kuu la kiroho.
Tutaenda kwa mitazamo yote ya kidini na kiimani, kisayansi, kihisia na hata kwenye nguvu za giza.
1. Third Eye - Thalamus - Eye of Horus
Hapa ni kwa mtazamo wa kisayansi nafikiri ni kwenye somo la anatomy kuhusu ubongo, jicho la tatu linaonekana katikati ya ubongo (zingatia katikati) vertebrate brain hapo ndio zinapozalishwa homoni za kulaza au kuamsha hisia maono usingizi nk.
2. Mathematics
Katika ulimwengu wa mahesabu na hesabu, wanamahesabu kwenye ishu za ratio cos na tan watatusaidia hapa.
3. Tahjud (Meditation)
Kwenye tahajudi wale waliosoma chakra na habari za milango nane, ukiangalia vizuri huo mchoro chakra ya sita ndio ya kuingilia mlango wa sita wa fahamu.
4. Baptism & Sijda
Kiimani katika ukristo, kwenye ubatizo alama ya msalaba kwenye paji la uso ndio hukamilisha tendo na kuwa Mkristo kamili sasa.. Lakini pia ukisoma kitabu cha ufunuo na habari za kutiwa Muhuri katika paji la uso utafahamu zaidi..
Kwenye Uislam tunajua nini maana na umuhimu wa swala tano na kuthibitisha uchaji wako katika swala tano ni sigida kwenye paji la uso.
5. A kiss on the Forehead
Kwenye mahusiano busu kwenye paji la uso ni tofauti kabisa na mabusu ya sehemu nyingine yoyote.
6. FREEMASONRY
Kwenye imani za mpinga Kristo freemason satanism nk alama yao kubwa ni jicho la tatu
7. SEVERE PUNISHMENTS (WATERBOARD)
Kwenye adhabu na mateso mbalimbali paji la uso hutumika kuleta adha ya ajabu mwilini... Mateso ya water board ni mfano mmojawapo. Unalazwa chini unafunikwa kitambaa usoni kisha unamwagiwa maji.. Ni aina ya adhabu isiyoumiza mwili bali inayoumiza hisia.
8. Michezoni:
Kwenye mchezo wa ngumi alama za juu ni zile ambazo zinaangukia kwenye paji la uso.
Nimejaribu kwenda na picha kuokoa ufafanuzi wa maneno mengi... Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu mno.. Tunashiriki kitu hicho hicho lakini kwa maana matumizi na mitizamo tofauti. Tunafundishwa kutolala chali kuepuka ndoto za mauzauza na majinamizi kumbe siri ni jicho la tatu jicho la maono.
Manabii na watenda miujiza hupenda kuwapuliza ama kuwashika watu penye paji la uso na kifuatacho hapo ni mzinga kama si kupiga kelele... Baadhi ya tiba mbadala hutumia paji la uso kama lango la uponyaji.
Wahindi na wahindu kwenye imani zao hujipaka rangi katikati ya macho kama sehemu ya ibada nk.
Jaribu kutafakari kwa hatua hiki kinachoitwa jicho la tatu, paji la uso, imani yako na maisha yako ya kila siku... Mwishowe tunaweza kujikuta tunaabudu paji la uso kwa muktadha tusiojua.

Unanishauri niache kuvuta bangi? Maana nikiivuta huwa najiona wa tofauti na mara zote huwa nafanya mambo ambayo ktk akili ya kawaida nashindwa ama natumia nguvu nyingi sana.Naamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.
Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.
Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.
Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.
Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...
Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.
Ambayo ni yapi hasa?Sikushauri kuacha ila zingatia madhara ya baadae
Ngoja niache tuu. Maana baadhi ya mambo hapo nishaanza kuyaona. Sasa sijui nifanye nini ili niwe imara mentally maana nilikuwa nikivuta na concentrate sana. Naweza soma hata masaa nane mfululizo. Pia nakuwa na uwezo mkubwa sana wa kupangilia kazi zangu.
Meditation...!Ngoja niache tuu. Maana baadhi ya mambo hapo nishaanza kuyaona. Sasa sijui nifanye nini ili niwe imara mentally maana nilikuwa nikivuta na concentrate sana. Naweza soma hata masaa nane mfululizo. Pia nakuwa na uwezo mkubwa sana wa kupangilia kazi zangu.
How do I do this Man. As a bigginer?Meditation...!