Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Kuna kitu nimeanza kukielewa hapo hasa nilivyosoma hicho kitabu cha KUTOKA 13:16 kwenye Biblia.

Ngoja tuanze sasa kufukunyua nondo za huu uzi taratibu.

Ipi ni athari ya kulala chali, na kwa nini watawala wengi wa zamani walikuwa hawalali kifudi fudi??

Ukiangaliakumbu kumbu za mafarao wa misri walikuwa wanawekewa kabisa mto wa kulaliaambao ulikuwa hauwaruhusu kugeuza vichwa wakati wa kulala, na wote walikuwa wanalala chali.

Kuna siri gani hapa.??
Kulala chali?aisee mm siku nikilala chali mbona nakoma hayo mandoto na majinamizi ya ajabu ajabu ni khatari najiamulia kulalia upande wangu wa kulia tu.nitakuwa Nina. Matatizo gani jamani?
 
Hahahah kumbe ndo mana tukiamka asubui tunaosha uso kwanza na maji yanaanzia kwenye paji la uso

Halafu na hawa jinsia ya ke hua wanafanya makeup usoni zaid kuliko sehemu zingine za miili yao,

Najaribu kuwaza tu
 
Umewaza zaidi ya kuwaza
 
mshana jr how are you brother????I am waiting for second episode remember you promised me that you will come with the thread concerning the relation btn color and chakras found in our body especially third eye.
Doing wonderful fine the post is yet to be
 
mshana jr kuna jambo naomba unisaidie. sijajua linahusiana na masuala ya ki spirit au uchovu wa akili.

ni hivi, kuna wakati ninapopanda kitandani kulala, dakika za mwanzo za kupitiwa na usingizi naona vitu vingi vya ajabu,mithiri ya maluwe luwe. nahangaika sana kitandani na kushtuka mara kwa mara.

sasa siku moja wazo likanijia,nikeanda bafuni kunawa maji kichwani na usawa wa paji la uso.nilipo rudi kitandani ile hali ya maluwe sikuiona tena.nililala vizuri mpaka asubuhi.

sasa hivi kila inapo nitokea hiyo hali,naamka kwenda kunawa maji kichwani na usawa wa paji la uso.ile hali hutoweka.

swali :nini chanzo cha hali hii, na kuna uhusiano gani wa kunawa maji kichwani na kutoweka kwa hali kwa mda.

hili tatizo ni serious mkuu, hivo nategemea majibu yako mujarabu sababu ya u serious wa tatizo langu.

ningeweza kukutunia PM, lakini nimeliweka hapa ili majibu yako yawe elimu kwa yoyote anayekumbwa na tatizo hilo.
 
Kwanza pole sana na kizuri ni kwamba umepata tatizo kisha ukalitafutia tiba mwenyewe, tungeweza kwa wepesi kabisa kufikia uamuzi wa kusema ni uchovu lakini mimi nadhani kuna kitu zaidi ya uchovu japo sio kibaya
Maji ni tiba asili ya mambo mengi je na hata kiafya tunashauriwa tunywe si chini ya lita moja kwa siku. Je una utaratibu huo?
 
Kaka mshana hii kitu nshawahi kui activate.Please kaka hii ilmu usiitoe ishia hapo hapo.Nlipata shida mimi.Yan ukimcheki mtu hv waona jana yake...hata kesho na siku zinazofata kwake.
Viumbe visivoonekana na viona live(utaniuliza najuaje kwamba havionekani,lkn mda mda huo mtu uko very hyper sensitive wajua ambayo hata havi elezeki.
Mkuu ebu naomba ufunguke japo kiduchu tu please...
 
Kwanza pole sana na kizuri ni kwamba umepata tatizo kisha ukalitafutia tiba mwenyewe, tungeweza kwa wepesi kabisa kufikia uamuzi wa kusema ni uchovu lakini mimi nadhani kuna kitu zaidi ya uchovu japo sio kibaya
Maji ni tiba asili ya mambo mengi je na hata kiafya tunashauriwa tunywe si chini ya lita moja kwa siku. Je una utaratibu huo?
Mkuu vipi kuhusu mm ninayeongea ovyoovyo ninapokuwa nimelala.????
 
Jamani Dunia yetu ina mambo aisee ahsante kwa elimu hiii.

Mimi ni muoga ningejaribu kumeditate
mfano: nilivyokuwa nausoma huu uzi nashtuka mtu akinigusa bila mimi kujua.Je nifanyaje ili uoga uishe ili niweze kumeditate.
 
Endelea usiache huo woga ni state of mind tuu utatoweka na akili itakuwa stable
 
Back
Top Bottom