Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Kiufupi bila kumung'unya maneno jicho la tatu maanake ni kumfungulia rasmi shetani mlango katika maisha yako.

Baada ya kumfungulia huo mlango shetani anakuongezea uwezo katika kutafakari na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na ugunduzi wa vitu mbali, kufanikiwa katika biashara, siasa,uwezo wa akili kuongezeka, nzota yako kung'aa zaidi ya wengine na mengineyo.

Maana naona watu hawaelewi huu mchezo wa jicho tatu.
Ndugu zangu hamna zaidi ya ushetani, ni shetani kazini.

Kwa hiyo fungua ila ufahamu unakaribisha nini katika mwili wako.
Ni kweli katika mtizamo wa kidunia unamanufaa ila kiroho unakuwa tayari uko motoni.

Pia zingatia shetani ndio baba wa uongo watukuja hapa kipindisha ukweli ni waendelee kukunasa.

Now kama unataka ufanikiwe hapa duniani lakini kwa upande mwingine uko motoni, wewe fungua hilo jicho la tatu maana changuo ni lako, hata Adamu ana Eve waliopewa uchaguzi ila baada ya kuongeza hilo la tatu wote tunajua kilichofuata.
 
Na mim napenda kujua zaid kuhusu jicho la tatu plz mshana,your contact if possible
 
U
Una raha ww duuu
 
Na mim nahitaji kuwa na jicho la tatu,nielekez
 
we kibibi umetokea wapi tena kazi kuvamia vamia tuu mada zisizo kuhusu una boa kinomaa

Hapana, sina boa.

Muelewe boa:

The boa constrictor, also called red-tailed boa, is a species of large, heavy-bodied snake. It is a member of the family Boidae found in North, Central, and South America, as well as some islands in the Caribbean. Wikipedia

Did you know: Female boas incubate eggs inside their bodies and give birth up to 60 live babies.nationalgeographic.com
 

Kwaiyo we ni tailed snake [emoji216] boa???
 
Huu utakua ni uongo bila shaka
 
Hebu tupe maelezo kidogo ya kupinga anachokisema maana anaongea mambo ambayo binafsi sijawahi kuyasikia

Paji la uso halina kabisa uhusiano na jicho la tatu. Mleta mada huwa anaona hizo mada kwenye mtandao, na inaonesha lugha ya Kingereza inampiga chenga, basi yeye huleta hizi mada kwa kubabia-babia, bora liende, na ameshaona kuwa wengi wa wanaomfatilia ni wale wale "wajinga ndiyo waliwao.

Nnakushauri soma kuhusu third eye, soma kuhusu sixth sense, soma kuhusu ESP (extra sensory perception). Utaelewa kwa undani jicho la tatu ni nini. Si huo upuuzi wa paji la uso alioleta huyo anaejiita Mshana Jr.

Tumia Google. Yote yapo hayo.
 
Mkuu@Mshana jr Unawafundisha watu siri nzito hata Vyuo Vikuu hawawezi kufundishwa hii Siri nzito sana jicho la 3 asante kwa kuwafunuwa watu macho wapo gizani hawaoni mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…