Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Mimi naomba nikuulize kitu kimoja Faiza hili jicho la tatu sijui meditation na mavitu mengine hayapingani na uwepo wa Mungu au na kwenye vitabu vya dini vinasemaje ningeomba ufafanuz kdg kama unauwelewa na hili..
 
Huko hakunifai kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku ni hatari kaka haswa mwezi wa 12 mwezi 1 mwezi 2 na mwezi 3 usirogwe kuja huku kumbe ndio maan aWazungu huw awanakimbia na kujifanya wanakuja kutalii katika nchi za joto! nimekwisha amka. Kumbe wanakimbia baridi ukiona mwezi 12 na mwezi wa 1 na mwezi 2 na mwezi 3 watalii wapo wengi huko ujuwe wamekimbia baridi.

 
Huko hata unipe wake watano na masuria 15 sikai
 
hahahahah usiogope ndio miasha ya ughaibuni wakati wa baridi baridi kali na wakati wa joto,joto linakuwa ni kali sana tumesha zoea hakuna shida leo kijuwa kimetoka na barafu chini inayeyuka nimekwenda kuswali ijumaa ndio nimerudi.
Kiukweli mimi na baridi na baridi ni sawa na mbingu na nchi
 
Mimi naomba nikuulize kitu kimoja Faiza hili jicho la tatu sijui meditation na mavitu mengine hayapingani na uwepo wa Mungu au na kwenye vitabu vya dini vinasemaje ningeomba ufafanuz kdg kama unauwelewa na hili..
Sidhani kama ataweza kukujibu to your satisfaction
 
Sidhani kama ataweza kukujibu to your satisfaction
Mshanajr, kwanza naomba usinichoke na maswali yangu.
Mimi nina tabia nikimsemea mtu kitu kinakua hata kama ni kwa utani tu, ama nikiwa namuuliza swali mtu tayari napata jibu akavyonijibu na kweli akijibu inakua kama lilivyonijia kichwani. Hii ni nini???!
Matokeo yake kuna mmoja kaniomba nimuangalizie maisha yake ya mahusiano kitendo ambacho mi sina uwezo nacho wala sijui wala sina uwezo huo (japo yeye anakataa anaona nambania dizain, [emoji1] [emoji28] ningekua tapeli hapa ningemlia hela).

Swali langu nina kitu gani kinachopelekea mi kujua hivyo vitu hapo juu, au nikuhisi kitu kimya kimya tu kinakua kweli.
 
tetee usijali kabisa lakini wewe ni mtu mwenye kipawa cha super natural powers ambazo wengi huzipata kwa kuhustle hasa na sometimes kutumia hata nguvu za giza
 
Kinacholala/lazwa chali ni maiti tu...tofauti na hapo jicho la tatu kupitia roho inatoa nguvu ya uvutano yenye ukinzani na nguvu nyingine ambazo ni hasi

Mshana hili tatizo ninalo la nikilala chali huwa Nina experience vitu vya ajabu mpaka natumia nguvu snaa kupapatua sasa kwanza NI nini hasa kinafanya uwe kwenye hali hiyo na hiyo nguvu inapingana vipi na nguvu hasi then nini tiba yake ,and what make sense ukisema kinacholazwa chali NI Maiti tu ,je maiti inahusiano gani na jicho la tatu na kulazwa chali.
Ahsanti man .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…