Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Niliwahi kuweka mada ya micro chips implants lakini kuna baadhi hawakuelewa kabisa..ni kweli kabisa mason wana mpango kabambe wa kuua mlango wa fahamu ya sita ili ile ni rahisi kutawala dunia
Unaweza ukairudia,kuna wengn hatujabahatika kuisoma
 
Daah... Hii series tulikua tunaangaliaga wakati tupo majanki enzi za miaka ya 90, kuna jirani zetu flani walikua na mikanda yake walirekodi ughaibuni. Itabidi niitafute now probably it'll make more sense. I remember it was all about time travelling
 
Nazielewa sana mada zako Mkuu! Usilisahau lile la damu nililokuomba pia.
 

Hii Ni siri kubwa Sana kwenye secret societ tuna omba Elimu zaidi big up Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…