Paji la uso na siri ya jicho la tatu

 
Tunajaribu kuumiza vichwa ila mungu ndio mjuzi zaidi amenifurahisha kwenye kifo tu mana hapa watu wameshindwa tambua kabisa siri zake.
 
Mtu anasehemu tatu ana mwili..(physical body) and Moyo (hapa sio moyo wa damu rather akili-subconcious mind) na roho(spirit-ambayo ni presence of God)

Roho ipo kutukumbusha kutembea katika njia ya Mungu. Hii inatusukuma kwa kutukumbusha ubaya au wema Wa vitu kabla hatujavifanya au tunapoendelea kufanya au tunapomaliza kuvifanya.. Ubaya haikulazimishi usifanye ila inatoa angalizo tu na hasa ukidevelop tabia ya kuiheshimu sauti hiyo ambayo huja kwa mfumo Wa self doubt..

Subconscious mind ndio sehemu nyingi tunaitumia km moyo. Katika dini tunasema itunze sheria ya Mungu moyoni, Au mtaani unasiki huyu mwana ana moyo wa kipekee au anampenda kwa moyo.. Moyo hauna yote hayo... Kinacho yafanya yote haya ni akili... Subconscious mind sio rahisi kuicontrol ila kwa hakika inacontrol action zetu..

Mfano akili yetu ya kawaida inatufanya tufanye routine things kwa ufasaha .. Ila tunapochukua muda kumeditate juu ya routine things tunaanza kuconcive ideas za incident ambazo hazijatokea bado na kuja solution ,..kwa wakati zinaweza kuwa minor nazikawa suppressed usikumbuke tena... Ila kwenye incident umekubwa na live scenario ya kitu kile unajikuta umereact same way km ulivo conceive..

Hii inaweza kuelezewa na mfano Wa mtu ambaye ni muoga wa kuruka sehemu ndefu ktk purukshani za kujiokoa kutoka sudden threat ..anaruka vizuri sehemu amby anabaki anajiuliza... Au mtu anayewahi na kumuokoa mtt aliyesimama ktk reli wakt train inakuja .. Au mess anayefanya move uwanjani akiulizwa anasema ht yy hajui ilikuwaje.. Wote wanaongozwa na subconscious mind.. Japo ni wachache sana wenye uwezo Wa kuimunipulate,..

Katika mfano wako wa maombi .. Inabidi vyote vitatu mwili..Moyo na roho viwe in harmony. Unaposali kwa Mungu wako na ukawa una mashaka ya kimwili hakuna kitu.. Ikiwa Subconsciously unakubaliana na Roho(yeye ndio hutoa signal za ubaya wote) na ukazifikiria kwa kina katika misingi ya imani yako... (Hapa muda na concentration ni muhimu) naturally subconsciously utakuwa unaepuka ubaya kwa kuutenda au kukutana na watu wabaya bila kutumia nguvu ...(instinct) kwa maana mwili wako sasa kupitia kuona kuhisi kuonja nk utakuwa na uwezo wa kung'amua in secs.

Ktk hali ya kawaida mtu anayetumia muda wake kusoma na kumeditate katika maswala Fulani..mfano biashara ataziona fursa kwa hrk kuliko asiyefanya hivyo..au kuliko aliyeanza muda mfupi tu.. Maana ni kupitia kujifunza katika mwili na kujitoa kwa moyo kufikiria tuliyojifunza tunafungua nguvu iliyoko ndani yetu kufikiria zaidi katika hali isiyokuwa limited(mwili) kuona mambo katika muktadha usiokuwa na mwisho (moyo-subconcious realm)
 
Kabla sijaenda Buddhist college nilikuwa nalala hovyo lakini tukafundishwa kulala mshazari ni ngumu mwanzoni lakini inahitaji kujizoeza
Inakuaje baadhi ya mambo ya ndotoni baada ya muda kupita yanatokea yani parts za matukio ya ile ndoto, km de javu flani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…