Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Hakuna mahusiano bali vinapingana uchawi ni nguvu nje ya ufahamu kwa muktadha huu jicho la tatu kwa kizungu tungesema ni intruder/mvamizi, wakati bangi ni mmea wenye kufungua ufahamu wa ndani kwa muktadha wa post hii
Mara zote katika ulimwengu wa kiroho mwenyeji huwa anapokea mgeni anayeendana naye na si yule wanayepingana
Tunapozungumzia jicho la tatu ni lile jicho linaloona tofauti na yale mawili yanayo angalia...! Uchawi ni imitation ya jicho la tatu
Shikomooo
 
Shikamoo
 
Paji la uso halina kabisa uhusiano na jicho la tatu. Mleta mada huwa anaona hizo mada kwenye mtandao, na inaonesha lugha ya Kingereza inampiga chenga, basi yeye huleta hizi mada kwa kubabia-babia, bora liende, na ameshaona kuwa wengi wa wanaomfatilia ni wale wale "wajinga ndiyo waliwao.

Nnakushauri soma kuhusu third eye, soma kuhusu sixth sense, soma kuhusu ESP (extra sensory perception). Utaelewa kwa undani jicho la tatu ni nini. Si huo upuuzi wa paji la uso alioleta huyo anaejiita Mshana Jr.

Tumia Google. Yote yapo hayo.
Kwakuwa wewe unelewa vzur kiingereza tunaomba ulete hapa hapa ili tubaini uongo wake au mnasemaje jamani ??
 
nimewaza sana sana,nimekumbuka vingi kupitia hili paji la uso linavyotumika mara nyingi lakini kwa matukio flani muhimu na umakini bila wenyewe kujua,asante kwa elimu mkuu mshana jr.

Wacha bana matukio gani muhimu yanahusisha paji la uso mkuu umeniacha Chalinze hapo
 
Back
Top Bottom