Paji la uso halina kabisa uhusiano na jicho la tatu. Mleta mada huwa anaona hizo mada kwenye mtandao, na inaonesha lugha ya Kingereza inampiga chenga, basi yeye huleta hizi mada kwa kubabia-babia, bora liende, na ameshaona kuwa wengi wa wanaomfatilia ni wale wale "wajinga ndiyo waliwao.
Nnakushauri soma kuhusu third eye, soma kuhusu sixth sense, soma kuhusu ESP (extra sensory perception). Utaelewa kwa undani jicho la tatu ni nini. Si huo upuuzi wa paji la uso alioleta huyo anaejiita
Mshana Jr.
Tumia Google. Yote yapo hayo.