Usingezaliwa ungebaki kwenye pumbu za babaako. Hamna maajabu zaidiNitajuaje kama hapa nilipo sasa ndio nyumbani au ndio nimezaliwa upya? Hiyo evidence ya mimi kuja kuwa paka au mtoto wa tajiri we umeijuaje kwa kutumia methodology ipi? Swali Langu lipo palepale kwa nini tupo hapa duniani, tunaishi na tunakufa? Lengo la kuja hapa duniani ni nini? Je umewahi kufikiri usingekuwa binadamu ungekuwa kiumbe gani labda? Je madhumuni ya haya maisha ni kitu gani?