Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Huyu ndio kafia hospital, tulijua atapona lkn haikuwa rizk 😭😭😭
Pole kuna kipindi kidogo nitoe chozi, Miaka hiyo nyumbani tulikuwa tunafuga paka, Yule paka alikuja kushika mimba na kuzaa kwenye stoo flani hivi ya nyumbani, Bi mkubwa alimaindi kuzalia kwenye stoo yake akanipa kazi ya kuvitoa vile vitoto na kuviamisha kwenye banda flani hivi la pembeni, Mda huo mama paka alilkuwa ametoka mimi nikaviamishia kwenye hilo banda ambalo bi mkubwa alinielekeza kuviweka.
Yule mama paka kurudi anaona vitoto vyake stoo havipo akaanza kulia na vile vipaka kule kwenye banda vinalia ila cha ajabu badala ya kwenda kule kuvifata yeye anan'gan'gana kuzunguka tu maeneo ya stoo kuvitafuta ikabidi nitoke na kumbeba kumpeleka kwenye banda ambalo ndo vitoto vyake vilipo cha ajabu ukimuweka anatoka mbio havitaki utasema sio vitoto vyake, Nikawa nashangaa nikasema ngoja nimuache kwa vile nimeshamuonyesha vilipo vitoto vyake basi atakuja kuvifata mwenyewe akitaka kumbe hamna ilipita siku ya kwanza, ya pili, wala havisogelei kabisa aisee kadri siku zinavyosogea na vitoto ndo vinazidi kupiga kelele sababu ya njaa mara viaende huku mara kule na vile vilikuwa hata macho havijaanza kufumbua utavionea huruma
 
Sasa si bora Tandu, kuna huyu mdudu anaitwa Washa Washa naweza kukuamkia hata mara 100 ili mradi tu umtoe kwenye macho yangu, Tandu ananitisha kwanza miguu yake ilivyo mingi, uwezo wake wa kung'ata mbele na nyuma, hujakutana na litandu likubwa limekomaa hadi likitembea lina kishindo (nimetia chumvi kidogo [emoji1787]) wanasema ana sumu kali na anaweza kuua mtu,

Kwa Rastafarians sio lazima kufuga nywele kikubwa ni imani na kufata sheria zao hata Ganja sio wote wanatumia japo wanaamini ni mmea wa peponi, wana lifestyle nzuri sana ila siipendi kivile kwenye dunia yetu hii hutakiwi kua mnyonge sana utafanywa daraja na kila mtu, huruma iwepo na ukali uwepo,

Haya kila la kheir na BullDog, mimi hapana wananitisha kwa kweli.
So you mean hupendi dudu washa? Hao ni butterflies wakiwa kwenye stage za ukuaji sema ndo hivyo wabongo na viherehere vyao.. et dudu washa. Lol ukimuuwa unakua ume meharibu growth cycle yake zamani pia kipindi nipo mdogo niliogopa sana wanyama na wadudu hatarishi ila toka nijue jinsi tuko so connected nao, siogopi sana. Wanyama wanapunguza Sana stress, hasa ukizoenana nao. It depends na energy level zako kama umechafukwa watakudhuru tu, wanasense hisia zako.

Hujui Rastafarians vizuri wewe, kati ya watu ambao wapo so rebellious ni hao jamaa, ndo maana wanavuta moshi. Wako humble endapo hauta India kwenye anga zao. Hawapendi nomanoma. Wanajua boundaries na si rahisi kubadilisha walichokiamua. Mimi naona watu wanao indulge kwenye manyama na protein hasa ya wanyama ndo huwa wapo weak.

Usiogope kiasi hiko, bulldogs ni Walpole kama unawajali, ila ni hatari kwa adui. Wanatisha sana hata kwa kuwaangalia but kati ya mbwa wenye nidhamu ni hao.
 
Daah! Pole sana hawajawekewa sumu kweli au kula chemical yoyote? au ni Virus iliwavaa!?maana kama ni ugonjwa wa kawaida haiwezekani wafe kwa mkupuo hivyo

Siwezi kuyabeba maumivu yako Angel pole sana tena sana
Labda ni virus au wamekula chakula kibaya. Lkn sumu no...wamo kwenye compound, hawatoki hata kwa bahati mbaya na kwangu pia haiingii stranger yyt yule, gate lipo locked full time.
Asante sana, nimepoa. Tumelia sana, mpk dada wa kazi kalia. Mana sote cat lovers
 
Pole kuna kipindi kidogo nitoe chozi, Miaka hiyo nyumbani tulikuwa tunafuga paka, Yule paka alikuja kushika mimba na kuzaa kwenye stoo flani hivi ya nyumbani, Bi mkubwa alimaindi kuzalia kwenye stoo yake akanipa kazi ya kuvitoa vile vitoto na kuviamisha kwenye banda flani hivi la pembeni, Mda huo mama paka alilkuwa ametoka mimi nikaviamishia kwenye hilo banda ambalo bi mkubwa alinielekeza kuviweka.
Yule mama paka kurudi anaona vitoto vyake stoo havipo akaanza kulia na vile vipaka kule kwenye banda vinalia ila cha ajabu badala ya kwenda kule kuvifata yeye anan'gan'gana kuzunguka tu maeneo ya stoo kuvitafuta ikabidi nitoke na kumbeba kumpeleka kwenye banda ambalo ndo vitoto vyake vilipo cha ajabu ukimuweka anatoka mbio havitaki utasema sio vitoto vyake, Nikawa nashangaa nikasema ngoja nimuache kwa vile nimeshamuonyesha vilipo vitoto vyake basi atakuja kuvifata mwenyewe akitaka kumbe hamna ilipita siku ya kwanza, ya pili, wala havisogelei kabisa aisee kadri siku zinavyosogea na vitoto ndo vinazidi kupiga kelele sababu ya njaa mara viaende huku mara kule na vile vilikuwa hata macho havijaanza kufumbua utavionea huruma
Asante sana ndugu. Au alivisusa vile umevigusa?
 
Cats love height
Tafuta documentary inaitwa Inside the Mind Of a Cat ya 2022 utajifunza mambo mengi kuhusu paka. Kuna namna wanawasiliana na sisi iwe kwa ishara au kwa sauti lakini sisi tunapuuza tu kwavile hatujui ukicheki hiyo Documentary utajifunza vingi sana kuhusu paka
Mie akilia chini ya miguu na kichwa kakiinua ananiangalia huwa natulia kumskiliza. Na huwa namuuliza unataka nini mama, una njaa au una kiu. Au unanisalimia hujaniona muda mrefu. Kama huyu aliepoteza wenzie wote unamhisi km ana huzuni na upweke maskin anatia huruma.
 
Labda ni virus au wamekula chakula kibaya. Lkn sumu no...wamo kwenye compound, hawatoki hata kwa bahati mbaya na kwangu pia haiingii stranger yyt yule, gate lipo locked full time.
Asante sana, nimepoa. Tumelia sana, mpk dada wa kazi kalia. Mana sote cat lovers
Hamkua mmewafungia sehemu labda kwenye chumba then mkawaachia nje, kuna pneumonia pia inauwa sana especially kama bado hawakuwa exposed nje kipind bado wachanga. Nilishawahi poteza mbwa wamili wadogo hivyohivyo sikujua tatizo nini, walikonda ghafla waka acha kula mpk kifo.
 
Hapana. Walivozaliwa walikaa ndani km 3 weeks au 4 weeks. Then wakawa wanakaa nje na mama yao na huyo mwengine mkubwa alozaliwa mwaka jana. Walikuwa wapo sawa kabisa, wananyonya, wanakula na wanacheza vizuri tu tena watundu ajabu. Hata wtt walivoniambia mama paka anatapika.. huyo aloanza kuumwa, nikajua anatapika kawaida tu... si unajua paka wana kawaida km wamekula kitu hawajakipenda wanatapika. Lkn bahati mbaya kutapika Kuliendelea mpk usiku akafa. Next day akaanza kuumwa mwengn mdogo, tukampeleka hospital mida ya mchana wakamchoma sindano ili km kama chakula kibaya atapike atoe, next day tukamrudisha wakamuwekea drip 2. Aliporudishwa jioni alitupa tamaa kdg alichangamka. Lkn kufika mida saa 4 usiku akatapika sana mpk akafa. Next day ikabd tumpeleke huyo mkubwa wao hospital ili tumuwahi mana alikuwa keshagoma kula, kakaa 2 days hospital na alikuwa keshaanza kula anaonekana yupo sawa tu. Siku ya 3 mwanangu akasema apite kumuangalia, Doctor kumpeleka kwenye cage walikomuweka wanamkuta keshakufa.
Cha kushangaza katika hawa watatu wadogo kuna mmoja tulikuwa tushampa mtu km 3 days kabla hawa wengine hawajaanza kuumwa lkn kulekule na yeye akaugua akafa.
Yaani kabaki mama tu. Na tulishamfungisha uzazi. Na alipopolekwa kufungwa uzazi pia alichomwa sindano za chanjo. Labda ndio zilimsaidia
 
Attachments

  • IMG-20240419-WA0065.jpg
    IMG-20240419-WA0065.jpg
    56.1 KB · Views: 1
  • IMG-20240419-WA0062.jpg
    IMG-20240419-WA0062.jpg
    46.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240419-WA0061.jpg
    IMG-20240419-WA0061.jpg
    19.9 KB · Views: 1
Hapana. Walivozaliwa walikaa ndani km 3 weeks au 4 weeks. Then wakawa wanakaa nje na mama yao na huyo mwengine mkubwa alozaliwa mwaka jana. Walikuwa wapo sawa kabisa, wananyonya, wanakula na wanacheza vizuri tu tena watundu ajabu. Hata wtt walivoniambia mama paka anatapika.. huyo aloanza kuumwa, nikajua anatapika kawaida tu... si unajua paka wana kawaida km wamekula kitu hawajakipenda wanatapika. Lkn bahati mbaya kutapika Kuliendelea mpk usiku akafa. Next day akaanza kuumwa mwengn mdogo, tukampeleka hospital mida ya mchana wakamchoma sindano ili km kama chakula kibaya atapike atoe, next day tukamrudisha wakamuwekea drip 2. Aliporudishwa jioni alitupa tamaa kdg alichangamka. Lkn kufika mida saa 4 usiku akatapika sana mpk akafa. Next day ikabd tumpeleke huyo mkubwa wao hospital ili tumuwahi mana alikuwa keshagoma kula, kakaa 2 days hospital na alikuwa keshaanza kula anaonekana yupo sawa tu. Siku ya 3 mwanangu akasema apite kumuangalia, Doctor kumpeleka kwenye cage walikomuweka wanamkuta keshakufa.
Cha kushangaza katika hawa watatu wadogo kuna mmoja tulikuwa tushampa mtu km 3 days kabla hawa wengine hawajaanza kuumwa lkn kulekule na yeye akaugua akafa.
Yaani kabaki mama tu. Na tulishamfungisha uzazi. Na alipopolekwa kufungwa uzazi pia alichomwa sindano za chanjo. Labda ndio zilimsaidia
Duuh pole sana, labda itakua tatizo chanjo. I can feel your pain, inaumiza sana. Itakuwa walikua infected a week before or so. Au labda kuna paka wa jirani au yale ya mtaani yalispread ugonjwa kwao, you never know ila lazima kutakuwa na chanzo.

Jaribuni kudadisi chanzo, na hao veteranian hawakusema ugonjwa? Ina bidi muangalie vizuri mjue chanzo. Lazima kuna maybe contaminations zilitokea kabla.
 
Wao pia wameconclude hivyo hivyo either virus au wamekula chakula kilichowadhuru. Asante ndugu, yaani kila nikiandika hapa lazima nitoe machozi. Ila tutasahau tu kdg kdg
 
Back
Top Bottom