Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

Ivo eeh, kwa hiyo niwe na amani tu.
Sababu majirani huuliza kama nimehamia na hao Paka, hawajawahi kuwaona kabla.
 
mkuu nikuulize kwanza, nyota yako ni ipi? ukute una nyota ya panya unakuja kulialia hapa.
Kama ningekua na nyota ya Panya wangekua wananiparura au kuning'ata lakini hawa wataka urafiki na undugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…