Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
- Thread starter
- #21
Sawa nitaitafuta.Tazama movie inaitwa "woman cat" hautapata majibu maswali yako lakini kuna kitu utakijua kuhusu paka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nitaitafuta.Tazama movie inaitwa "woman cat" hautapata majibu maswali yako lakini kuna kitu utakijua kuhusu paka
Ivo eeh, kwa hiyo niwe na amani tu.Hapo zamani nilikuwa siwapendi hao wanyama. Hivi leo nawapenda kupita maelezo.
Nyau ana uwezo wa kujua unamwazia nini. Ukiwa na moyo wa upendo juu yake, yeye hujua na hufanya hivyohivyo juu yako.
Na hii si kwa nyau tu wa kufugwa ndani, ni CAT FAMILY kwa ujumla.
something proven.
Uturutumbi ndo nini yakhe?acha uturutumbi mkuu
Hapo sikatai, tatizo ni kwanini kila mtaa nikihamia nizoewe na Paka tu?Una moyo fulani nzuri sana
Nawapenda sana tu lakini hiyo ya kuja kunifata bila kuwaita ndo yanitatiza.Cat Person, wanasema Paka ana uwezo wa kujua huyu mtu ana upendo basi hujisogeza karibu kama ujuavyo Paka ni Mnyama anayependa Kupendwa na Kudekezwa, usiwaze sana mrembo.
Kama ningekua na nyota ya Panya wangekua wananiparura au kuning'ata lakini hawa wataka urafiki na undugu.mkuu nikuulize kwanza, nyota yako ni ipi? ukute una nyota ya panya unakuja kulialia hapa.
Napenda Samaki lakini siuzi mbona.Utakua unauza samaki kwa hiyo ile harufu wanaipenda
Basi unawala hadi jasho linakutoka likiwa na ka harufu ka samakiNapenda Samaki lakini siuzi mbona.
Kanyora numturutumbi, ishinyamu wiki!!!acha uturutumbi mkuu
NamtimuaWamfanyaje?
wanakuvizia ujisahau mkuu, hata fisi hua anavizia mkono uanguke autafune.Kama ningekua na nyota ya Panya wangekua wananiparura au kuning'ata lakini hawa wataka urafiki na undugu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaaah yaaaan weee sijui unawza nn? Tena paka ni hatareeeeh kweny mapenzi, maan style zote za kibinadamu wanajua na kupract, so burudaaaaaan tyuuuh.Vinawalamba lamba baada ya wajuba kugoma kuzama chumvini[emoji23][emoji23]
Wastaarabu na wana upendo mnooooh. [emoji177][emoji177]Nawe wakufata kama mie eeh?
Paka wazuri kwa kweli [emoji173]
🤣😅🤪 Kwanini huna imani nae anaweza kukukwarula🤣Mnyama anayenitazama machoni muda wote bila kupepesa macho ziwezi kukaa naye karibu muda mrefu, itabidi aende tu sina imani naye.
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu nikuulize kwanza, nyota yako ni ipi? ukute una nyota ya panya unakuja kulialia hapa.
Hatari sana,🤣😅🤪 Kwanini huna imani nae anaweza kukukwarula🤣