Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Unamaanisha paka kama tunaowafahamu majumbani au unamaanisha mnyama jamii ya paka.
Maana hap inaonekana ni crossbreeding ya Simba na chui.
Mbele ya mguu wa bata& Wa kuku hakuna kitachosumbua duniani.Hizi 'cross-breeding' hizi, kuna siku kitatokea kiumbe kitakachotusumbua sana kukidhibiti.
decomm!
Jamaa analeta zile za kwenyeMbele ya mguu wa bata& Wa kuku hakuna kitachosumbua duniani.
Nafahamu, na ndiyo maana niliuliza paka wa majumbani tunaowafahamu au mnyama jamii ya paka.