Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Vipi nikuagizie wa aina hiyo ufuge?Duuh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nikuagizie wa aina hiyo ufuge?Duuh!!
Paka aliyevunja rekodi ya ukubwa anaitwa Hercules, ambaye ni chotara wa mchanganyiko wa simba na chui milia, ambaye sasa anaishi Myrtle Beach Safari, hifadhi ya wanyama pori South Carolina, USA.
Ana urefu wa mita 3.33, kimo chake ni mita 1.25 na ana uzito wa 418.2 kg (922 lb).
Hercules anakula 13.6 kg za nyama
View attachment 1324014
View attachment 1324015
Wewee fribeziksi mbona picha twaonaMaskini free basics
Lion + tiger=liger.Sasa mchanganyiko wa simba na chui milia anaitwaje paka? Japo wote ni jamii ya paka I thought there must be other name to join Lion and Tiger Breeds
Kuna vingine haviuwawi kwa miguu ya kuku mkuuMbele ya mguu wa bata& Wa kuku hakuna kitachosumbua duniani.
movie hizoHizi 'cross-breeding' hizi, kuna siku kitatokea kiumbe kitakachotusumbua sana kukidhibiti.
decomm!
Humalizi robo ?Anakula kilo13.6 za nyama kwa siku, wakati mimi hata robo kilo kwa siku siwezi hiyo ni dharau
Wanaitwa Ligers au Tigons depending dume alikuwa simba au Chui?Sasa mchanganyiko wa simba na chui milia anaitwaje paka? Japo wote ni jamii ya paka I thought there must be other name to join Lion and Tiger Breeds
Jamaa analeta zile za kwenye
Dawn of planet of apes
Jurasic park
Godzilla
Host
Anaishi maisha ya kwenye movie [emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anapigwa Short range ballistic missile Nuclear war head bullet [emoji23][emoji23][emoji23] jokin
Sure. Labda kiwe kitu kisichooneakana kwa macho kama hivi virusi vya corona...Mbele ya mguu wa bata& Wa kuku hakuna kitachosumbua duniani.