Paka mkubwa kuliko wote duniani

Halafu vyuo vyetu wameshindwa hata kupambana na mbu tu



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wengiwalishtuka kusikia jina la paka likitumika hapo,lakini kutumia jina la paka ni kawaida mnoo,maana haya simba hujulikana kama paka mkubwa zaidi katika Afrika.
 
Sasa mchanganyiko wa simba na chui milia anaitwaje paka? Japo wote ni jamii ya paka I thought there must be other name to join Lion and Tiger Breeds
Wanaitwa Ligers au Tigons depending dume alikuwa simba au Chui?
 
Msidharau fikiri simba au chui katika hizo cross breeding zao bahati mbaya akawa na akili maarifa ya binadamu ai watatufuga wale?maana wapo superior kila idara ila tumewazidi akili na maarifa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…