Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante 🤝🤝
Hebu msalimie huyo mtu😂Naomba nikununilie paka Certified Hater 😂😂😂😂😂😂
Kwanini umeweka discount ya buku in advanceNyau anauzwa (Felis catus) elfu kumi na tisa 19,000/= (negotiable)
Hahah daah wamepanda Sana Bei wateja wamenizidia 😃😃😃Sahivi nyau wako wamepanda bei, nmemkumbuka yule wa elf 3.... Nlicheka sana
Mnunulie kwa kweli🤣Naomba nikununilie paka Certified Hater 😂😂😂😂😂😂
Ndo yupi huyoo??NAibu waziri Gekul ananunua
Hongera mkuu kwa kabiashara ka pekee ila Dr Matola PhD alikuambia ukitaka na wengine atakupa bure huko kwao nyau ni wengi ukiwa unakula zako ugali nyau anakutolea macho na kumeza mateHahah daah wamepanda Sana Bei wateja wamenizidia 😃😃😃
Huyu Ni paka Felis catusHebu msalimie huyo mtu😂
Ngoja aje kuchagua rangi 😂😂Mnunulie kwa kweli🤣
Buku ya dagaa akiwa anamsafirisha asipige kelele, Kitalaa tunaiita ..... Au bachiiiKwanini umeweka discount ya buku in advance
Mzigo upo wa kutosha kwa sasa may be next timeHongera mkuu kwa kabiashara ka pekee ila Dr Matola PhD alikuambia ukitaka na wengine atakupa bure huko kwao nyau ni wengi ukiwa unakula zako ugali nyau anakutolea macho na kumeza mate
Nitakuja unipe utambulisho vizuri sio kwa tag hizo😂
🤝Sawa