Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
- Thread starter
- #21
Unauza au unanunua???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauza au unanunua???
Paka sio kweli Mwl, anamambo ya kifala sana anajikutaga yeye ndo malkia, sasa ntakua na malkia wangapi? Hata ungekua wewe utakubali? Kibaya zaidi huyu atamdharau mbwa wangu atamuona Mbwa mbwa tuu...Naomba nikununilie paka Certified Hater 😂😂😂😂😂😂
Hizo tag zisikutishe mkuu mi nilikua Mwl wa Mafunzo ya Mbwa wake... Depal Acha kuwapa watu wasiwasi Mwl, sema nyota ikiniwakia naruka tu Shwaaa kwani mi sipendi vitu vizuri..Nitakuja unipe utambulisho vizuri sio kwa tag hizo😂
😂😂😂 hizo tag mbona hazina lolote speshoNitakuja unipe utambulisho vizuri sio kwa tag hizo😂
Point ipo kwenye Shwaa😂😂😂Hizo tag zisikutishe mkuu mi nilikua Mwl wa Mafunzo ya Mbwa wake... Depal Acha kuwapa watu wasiwasi Mwl, sema nyota ikiniwakia naruka tu Shwaaa kwani mi sipendi vitu vizuri..
We tulia🤣😂😂😂 hizo tag mbona hazina lolote spesho
Haha na malkia ni mmoja tu ndani… aloo basi wacha, offer imekupita mkuuPaka sio kweli Mwl, anamambo ya kifala sana anajikutaga yeye ndo malkia, sasa ntakua na malkia wangapi? Hata ungekua wewe utakubali? Kibaya zaidi huyu atamdharau mbwa wangu atamuona Mbwa mbwa tuu...
Unauza au unanunua mkuu
Nimetulia 🤣🤣Point ipo kwenye Shwaa😂😂😂
Nakuunga mkono, hata debe nitakusaidia kulipiga😂
We tulia🤣
Hujawahi niangusha.Nimetulia 🤣🤣
Sasa kama wakuu wanaamua nisikae kizembe si namimi nachangamka au.. mbele mbele yaooNyota gani ikiwakie na jua hamna? 😂😂 embuuu tulia mwalimu
😂😂😂 Jamani jamaniiiHujawahi niangusha.
Hata ukipoteza pambano...vita iko pale pale😂
😂😂😂😂…! Sijasoma ulichoandikaSasa kama wakuu wanaamua nisikae kizembe si namimi nachangamka au.. mbele mbele yaoo
Safi mkuu Kumbe watu wema bado wapo aiseee..Ngoja Safari Moja inianzishie nyingine tajiri Depal itabidi session ya mafunzo iendeleePoint ipo kwenye Shwaa😂😂😂
Nakuunga mkono, hata debe nitakusaidia kulipiga😂
Brand imekuwa kubwa soon tutaona maifluensa wa insta kina doto magari wakitangaza biasharaSahivi nyau wako wamepanda bei, nmemkumbuka yule wa elf 3.... Nlicheka sana
Wewe ni ndg yangu unajua nakutakia mema...hata wakinuna najali basi?😂😂😂 Jamani jamaniii
Nakuona una bashasha la ubarikio wa siki ya bwana.